Michuano hii kinachotakiwa ni point 3 muhimu lakini kocha wa Simba ajiangalie kwa mbinu zake nilishasema kuna kilio kinakuja asipobadilika!

Michuano hii kinachotakiwa ni point 3 muhimu lakini kocha wa Simba ajiangalie kwa mbinu zake nilishasema kuna kilio kinakuja asipobadilika!

Hauna nguvu za kushauri walioshinda, wakati jana tu ulikuwa miongoni mwa mashabiki walioangua kilio mbele ya camera za youtube TVs
Na nyie kilio kinakuja muda sio mrefu kwa aina hii ya uchezaji na mbinu za kocha wenu,,ni suala la muda tu asipobadilika,,na mashabiki kama nyie Mimi Wala amniumizi kichwa kwakuwa tuko level tofauti kwenye kuutafsiri Mpira wenyewe
 
Mpira unaangaliwa, hautafsiriwi. Tutafsirie mechi ya jana 😂😂😂
 
JAMA I huyu ni Ateta,akishazoea mambo yakatakuwa safi..Simba mmeleta makicha wakubwa akiwemo Benchika,,simba iliendeleankuwa tua maji
Wewe ni mtaalam ambaye inabidi jf sport tukuheshimu kwa simba hii isipobadilisha kocha Robo hatuchezi yaani inaonekana anakariri alichojifunza kwenye kozi ya ukocha hana Akili ya kujiongeza.
 
Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu sana!

Dk zote 90 ukiondoa goli la penalty ambalo na lenyewe lilisababishwa na makosa binafsi ya beki wa Bravos akuna cha maana walichofanya Simba kimbinu!

Kocha wa Bravos na timu yake wajilaumu wao wenyewe kutoondoka na alama Leo hii nafikiri kukosa uzoefu kumechangia kukosa matokeo wametengeneza nafasi ikiwemo mkwaju wa penalty wameshindwa kutumia!

Lakini pia kwa anayeangalia Mpira kiufundi na sio matokeo nafikiri atakuwa ameona mipira inayopigwa katikati ya mabeki wa Simba imekuwa inawapa shida kubwa sana na sio kwenye mechi hii tu bali kwenye mechi zote walizocheza karibu 5 tatizo Limekuwa ni hilo!

Angalia upangaji wa kikosi wa Simba na sub zake utapata majibu!

Soma Pia: Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Uwezi kuwa unategemea magoli ya penalty tu ndio yakuokoe Kuna siku utopata iyo penalty utafanyaje!

Second half Simba inakata upepo zile beki za kulia na kushoto kapombe na Tshabalala ni majanga inawezekana ni Umri umewatupa mkono lakini wanakata moto sana!

Tunaendelea kuwakumbusha kocha wenu asipobadilika kimbinu Kuna jambo litawakuta muda sio mrefu!
Je kati ya hawa watatu yupi mwenye mbinu wa tabora united azam au al hilal ambae atafaa kuifundisha simba!
 
Wewe ni mtaalam ambaye inabidi jf sport tukuheshimu kwa simba hii isipobadilisha kocha Robo hatuchezi yaani inaonekana anakariri alichojifunza kwenye kozi ya ukocha hana Akili ya kujiongeza kama kocha nilikuwa sielewi kwa nini kwenye kazi waajiri wanataka uzoefu huyu kocha hastahiri kuendelea na kibarua chake pale Simba hamuwezi kumsifia golikipa kwenye mechi ya nyumbani tena dhidi ya timu kaliba ya Bravo.
Wewe yanga wamechana mkeka wangu.....
 
Na nyie kilio kinakuja muda sio mrefu kwa aina hii ya uchezaji na mbinu za kocha wenu,,ni suala la muda tu asipobadilika,,na mashabiki kama nyie Mimi Wala amniumizi kichwa kwakuwa tuko level tofauti kwenye kuutafsiri Mpira wenyewe
Tatizo la Yanga wote wanajua Mpira angalia lawama walizotoa jana. Mie naamini kocha ana sababu ya kufanya vile leo kulikuwa na advantage ya kucheza nyumbani. Ni Vizuri akaachiwa na Benchi lake la ufundi. Mawazo haya ungewapia UTO ungewasaidia.
We utopolo mbona unahangaika na timu yetu lakini? Jana tuu umetoka kulitia aibu taifa🤣🤣 huo ushauri wapelekee kina Aziz k na pacome waache kucheza kama walevi shisha zitawaua na huyo dube k vant zitamuua mechi nzima ni kuanguka tuu, SIMBA NGUVU MOJA.
Watu Hadi wanatapika uwanjani 😂😂
 
Huyu kocha nina mashaka naye kama kweli ataipeleka simba nchi ya ahadi simuelewi mbinu zake hasa kwenye final third wachezaji hawana combination play.
 
Changamoto ya simba kuna uwezekano sio kocha ni quality ya wachezaji , kiungo wa kupiga pasi za mwisho na mkabaji hamna
 
Changamoto ya simba kuna uwezekano sio kocha ni quality ya wachezaji , kiungo wa kupiga pasi za mwisho na mkabaji hamna
Mashabiki wao wanakwambia Awana changamoto wako vizuri na kocha wao,,ukisema unashambuliwa Wacha muda utaongea!
 
Huyu kocha nina mashaka naye kama kweli ataipeleka simba nchi ya ahadi simuelewi mbinu zake hasa kwenye final third wachezaji hawana combination play.
Atawafikisha tu,,tuishi humo wenzako wajuaji wanakwambia anatosha lakini muda utazungumza!
 
Tatizo la Yanga wote wanajua Mpira angalia lawama walizotoa jana. Mie naamini kocha ana sababu ya kufanya vile leo kulikuwa na advantage ya kucheza nyumbani. Ni Vizuri akaachiwa na Benchi lake la ufundi. Mawazo haya ungewapia UTO ungewasaidia.

Watu Hadi wanatapika uwanjani 😂😂
Mashabiki wa uto walifikia point wakaona hakuna timu duniani ya kuifunga, walisahau kua Mungu sio mzee mkumba, anafungwa man city, real Madrid timu bora duniani sembuse utopolo??? Unaposhangilia ujue Kuna wenzio wanalia so ipo siku utalia na wao watashangilia. BTW manara ashasema yanga wenye akili ni wawili tuu.
 
Huyo Fadlu kwenye sub hata mimi kuna muda huwa simuelewi kabisa. Kwa mfano leo Kibu alitakiwa hata asimalize dakika 30 uwanjani lakini kwa maajabu mpaka kipindi cha pili alikuwepo.
 
Nilivyoiona Bravos leo halafu nikikumbuka Ahmed Ally alivyokuwa anatamba kuwa wana pointi sita tayari nikilinganisha na Simba ilivyocheza leo kwa kweli benchi la ufundi na wachezaji wasipobadilika na kufanya kazi haswa wajue huko mbele kuna jambo litawakuta.
 
Shida kocha akishafunga goli moja ana paki basi. Angalia mechi ya pamba na Leo ya Bravos.
 
Kwenye pont 6 tatu tyr zimedakwa wkt nyuma mwiko hawana hata dalili ya kupata hata point moja kwa mechi zote za mwaka huu! wee inakuhusu nn pambana na Hali yako kwnz
 
Shida kocha akishafunga goli moja ana paki basi. Angalia mechi ya pamba na Leo ya Bravos.
Sio kupaki basi bali mbinu zake zinakuwa zimeishia hapo,,na sio mechi ya pamba tu ni mechi nyingi kacheza kwa mbinu zile zile abadiliki,,nishaelewa ni kwanini aliishusha timu daraja kule south Africa!
 
Wewe yanga wamechana mkeka wangu.....
Wewe ni miongoni mwa mashabiki ambao Timu yako ikifungwA Huli chakula,upati usingizi,ndo mnawarushia chupa za mikojo waamuzi,mnawachania wenzenu nguo kisa rangi na mwisho kabisa naomba nikutukane kidogo na nimalizie kwa kukuita MSHAMBA.
 
Back
Top Bottom