Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #201
Kwa kuwa mimi ni muhenga basi sina budi kusema ni ile ya mwaka 1970 Mexico
Wakati Mario Zagalo ndio coach wa Brazil
Duu kina Tostao, Carlos Alberto, Pele, na Revelino
Hiyo ilikuwa ni timu haswa ingawa pia naikumbuka ya South Korea pia ya 2002
Ila msinikosoe kwa kusifia vya zamani maana na nyie itakuja siku mtasema simu ilikuwa iPhone bwana [emoji23]
Shikamoo mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
SenegalKama sijakosea Mali walifika robo au nusu fainali kwenye hizi fainali
Alifanya nini boss aliwateremsha daraja nini?Denilson,,,jamaa alisababisha Real Betis wavunje bank kumsajili alichoenda kufanya sasa huko hawasahau
Real Betis waliweka matumaini makubwa kupita kiasi kwa Denilson. Kwa dau walilotumia kumnunua mashabiki hawakumpa nafasi ya kuzoea mazingira na Ligi ya Spain. Walitarajia na walitaka afanye makubwa ikiwezekana kuwapa ubingwa wa La Liga!!! Siku aki under perform wanamzomea. Matokeo yake alishindwa kabisa kucheza na akapotea kwenye ulimwengu wa soka na Betis walishuka daraja
2002 naikubali sana .....unamkuta mzee Ronaldo Nazario Luis de Lima alikuwa hatari sana huyu jamaa....akina Henry Kamara ,Hassan Sas na Ilhan Mansiz wa uturuki aliyetufunga Senegal goli la dhahabu yaani nomaFainali bora kwangu ni za 2002 , hasa nakumbuka goli la Ronadinho gaucho dhidi ya England,
Kipindi hicho ureno walikua na mchezaji wao anaitwa Pedro Pauleta, nami mtaani nilikua naitwa Pauleta, wengine wananiita Michael Barrack
Kabisa 2010 kulikuwa na jamaa wa Mexico anaitwa Giovanni noma sana yule dogo
Ronaldo de Lima ndo fundi zaidiWord cup niliyo ikubali mm ni ya mwaka 2002 kipindi hicho ndio Nina akili yangu timamu na kumuona fundi mpira ambae hatoweza tena kutokea kwa kizazi hichi ambae ni RONALDINHO
Wakali Brazil walishinda mechi ZOTE ndani ya dakika 90 hakuna hata draw moja waliyotoa ,,,,,halafu waliupiga mwingi sana kweli 2002 hakuna tena kama ileNashangaa hakuna anae isifu ile ya 2002 wakati haiji kutokea Kali Kama ile
Wakali Brazil walishinda mechi ZOTE ndani ya dakika 90 hakuna hata draw moja waliyotoa ,,,,,halafu waliupiga mwingi sana kweli 2002 hakuna tena kama ile
basi kila mtu ana maoni tofauti mimi binafsi 2002 niliipenda sana2002 michuano ilikuwa easy.. timu zinashinda ndani ya dakika 90...
World cup ya ukweli niliyoiona ni germany 2006... games zilikuwa za kibabe sana.. yaani kuanzia nusu fainali games zilienda extra time mpaka fainali
Giovanni Dos SantosKabisa 2010 kulikuwa na jamaa wa Mexico anaitwa Giovanni noma sana yule dogo