ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Nakumbuka ile fainali ya kombe la dunia ambapo moja kati ya zile mechi Naigeria alimpiga Spain 3/2.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Word cup 1998.Nakumbuka ile fainali ya kombe la dunia ambapo moja kati ya zile mechi Naigeria alimpiga Spain 3/2.....
World cup ya 1998 ilikuwa [emoji91]
Umeandika nini?Go go go ale ale ale ilikua ni wimbo wa World cup ya 1994 pale USA, wimbo wa 1998 ulikua unaitwa Carnival de Paris
Hakika mkuu naungana nawewe yaani hapa ndiyo nilipowajua akina Ronaldo na Adriano ingawa kombe alichukua Italy ila blazili alifanya yake.2006 matangazo ya mazuri na mastaa wengi.
Hiyo ilikuwa France 98 na uliimbwa na Rick MartinGo go go ale ale ale ilikua ni wimbo wa World cup ya 1994 pale USA, wimbo wa 1998 ulikua unaitwa Carnival de Paris
Heheheh, Brazil 🇧🇷 alipelekewa moto balaa mpaka akaaga hatua ya 16. Since then hakuibuka tena.Hakika mkuu naungana nawewe yaani hapa ndiyo nilipowajua akina Ronaldo na Adriano ingawa kombe alichukua Italy ila blazili alifanya yake.
Shikamoo1998 nilikuwa nafunga ndoa yangu ya tatu
2006 alifika robo fainaliHeheheh, Brazil [emoji1054] alipelekewa moto balaa mpaka akaaga hatua ya 16. Since then hakuibuka tena.
Qatar 2022Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del Piero, Canavarro, Zambrotta, Camoranesi na wengineo.
Italy njia aliyopitia mpaka kutwaa ubingwa ilikuwa ngumu sana. Mechi kama ya Nusu Fainali dhidi ya wenyeji Ujerumani ni ya kukumbukwa muda wote.
Pia kuna mechi za kukumbukwa kama robo fainali ya Argentina Vs Ujerumani ambao Argentina aliongoza muda mwingi wa mchezo, kocha wa Argentina alikuja kufanya mistake ya kumtoa Requelme jambo ambalo lilipelekea kuwarudisha mchezoni Ujerumani.
Halafu kuna mechi inajulikana kama Battke of Nuremberg, kati ya Uholanzi Vs Ureno ambapo jumla ya kadi za njano 16 na nyekundu 4 zilitoka.
Hayo ni kwa uchache tu, yote kwa yote World Cup ya 2006 ilikuwa bora sana kwa upande wangu.
Wewe unaikubali ipi na kwanini?