Kwangu ni Mwaka 1994...enzi zile Temeke Mikoroshini ,wenye TV UNAWAHESABU😀😀 hata Mzee Uruguay hakuwa nayo! Tulikuwa tunaenda Stereo...ile Nyomi haikuwa ya nchi hii!Mimi mpaka leo naamini World Cup bora kuiona ni ile ya mwaka 2006. Jinsi Italy walivyopambana mpaka kutwaa taji. Italy ile iliyoundwa na wakongwe kama Luca Toni, Buffon, Pirlo, Materazzi, Del Piero, Canavarro, Zambrotta, Camoranesi na wengineo.
Italy njia aliyopitia mpaka kutwaa ubingwa ilikuwa ngumu sana. Mechi kama ya Nusu Fainali dhidi ya wenyeji Ujerumani ni ya kukumbukwa muda wote.
Pia kuna mechi za kukumbukwa kama robo fainali ya Argentina Vs Ujerumani ambao Argentina aliongoza muda mwingi wa mchezo, kocha wa Argentina alikuja kufanya mistake ya kumtoa Requelme jambo ambalo lilipelekea kuwarudisha mchezoni Ujerumani.
Halafu kuna mechi inajulikana kama Battke of Nuremberg, kati ya Uholanzi Vs Ureno ambapo jumla ya kadi za njano 16 na nyekundu 4 zilitoka.
Hayo ni kwa uchache tu, yote kwa yote World Cup ya 2006 ilikuwa bora sana kwa upande wangu.
Wewe unaikubali ipi na kwanini?
Hii nayo ni historia ,by then nipo Drs la.....!1986 England vs Cameroon
Bonge ya game ilikuwa.Nimeangalia fainal za kombe la dunia miaka.
1. 1990 Italy
2. 1994 marekani
3. 1998 france
4. 2002 korea na japan
5. 2006 german
6. 2010 SA
7. 2014 Brazil
8 . 2018 russia.
Kati fainal bora ni zile za 2006 pale ujerumani. Mechi bora za wakati wate kwangu ni nusu fainali kati ya German na italia. Italia wakibuka washindi kwa mabao ya Vicenzo Ianquita na mkonge Del Piero.
Ujerumani ikiwa na kikosi cha vijana wadogo kabisa. Meaut Ozil, Sammy Khadera ect.
Itali chini ya kocha Marcelo Lippi na wakongwe, Del Piero, Zambrotta, maestro Pillo, Alesandro Nesta, Fabio Canavaro na beki mtukutu Materatzzi.
Wengine ni Fabio Groso, Luca Toni, Claudio Marchsio na mzee mzima Genarro Gatuso. Captain gigi Buffoni akisimama katikati ya stick.
Hizo ni fainali zangu bora kuona.
Nadhani unamaana 1998. Karembeu,petit,desairy,ronaldo mwenyewe , zidane, salas, D sukar, rivaldo, colombia,romania,chile..1988 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango,kina davo Suka,Mari selo salali,mwanko kanu,zizu ,Luis Figo,Devi's bekhamp,Patric cruvet,n.k
Hiyo 90 game zilikuwa zinapigwa mda mbaya. Nakumbuka nilikuwa doga sana. Niongozana na mshua wangu kwenda kuangalia mpIra pale chuo cha polisi CCP, Kwenye moja ya bwalo la maafisa wa polisi.Cameroon vs England robo fainali 1990,winga wa cameroon Paul Rose mfede alikosa magoli ya wazi kabisa , England ilisonga mbele kwa goli 3-2 Garry lineker aki ifungia Engand penalty 2 katika muda wa nyongeza. Cameroon ilikua ikiongoza ongoza mbaka dk za 80 na ushee
1990 Cameroon ana mfunga Argentia katika mechi ya ufunguzi 1- 0, Argentina yenye Maradona na Canigia tena wachezaji wawili wa Cameroon wakipewa red card. Ukitaka kujua Africa ilikua na wanasoka wenye vipaji basi unge bahatika kuiona ii mechi. Cameroon wali upiga mpira kama hawachezina kigogo cha dunia Chenye Maradona na Canigia. Wakati uo soka bado haijaanza kuitwa football.
Hiyo ngoma ya Shakira ilibamba sana2010 SA ilikuwa Best of all the time...!! Hakuna Mashindano yaliyosikika na kuhit kama yalee hata nyimbo zake hadi leo zimebaki historia...waka waka waka eeheee...its time for Africa...this is africa[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Nashangaa hakuna anae isifu ile ya 2002 wakati haiji kutokea Kali Kama ile
world cup 2002 (korea and japan)
nilikuwa nawapenda spain kuliko wakatalunya.
fernando hierro alikuwa ndiye shujaa wangu.
ruben baraja
gaizka mendietta
fernando morientes
gonzalez raul
ivan helguera.
carles puyol
wanafungwa kwa mikwaju ya penalty dhidi ya korea ya kusini.
1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango,kina davo Suka,Mari selo salali,mwanko kanu,zizu ,Luis Figo,Devi's bekhamp,Patric cruvet,n.k
SENEGAL walifika robo fainali wakatolewa na turkeyKama sijakosea Mali walifika robo au nusu fainali kwenye hizi fainali
Okocha1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango,kina davo Suka,Mari selo salali,mwanko kanu,zizu ,Luis Figo,Devi's bekhamp,Patric cruvet,n.k