Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #261
Mechi ya ufunguzi kati ya Ujerumani vs Costarica, ilikua bonge moja la game
Unakumbuka ile bunduki ya Torsten Frings katikati ya uwanja mpk goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya ufunguzi kati ya Ujerumani vs Costarica, ilikua bonge moja la game
Wote naona hakuna alietaja 2014 ile fainali ulipigwa mpira wa kisasa kabisa ambapo ulimwengu wa soka ulikua umebadikika kabisa na emerge ya new era of football ambapo tactics technics zime advance zaid japo zilianza kuonekana la 2010 spain ikipiga mpira mwingi sna though kwa mtizamo wangu huo competition zinzidi kuwa bora zaid kutokana ubora na usasa pia technology katika kukusanya data za individual na team kwa ujumla
Kabisa cjui yupo wapi alikuwa na nywele nyingiGiovanni Dos Santos
Uzi mtamu sana.huu
Well me ya miaka ya karibuni haijanivutiaga yani ni 2002 na 2010 ndo niliipendaKwa mtazamo wangu kwa miaka ya karibuni michuano ya kawaida sana ilikuwa ile ya 2014 na 2018 haikuwa na ubora sana kihivyo.
Yupo MX Club America, dogo career yake imeisha hovyo sana japo alikuwa na potential ya kuwa mchezaji mkubwa yeye na Borjan KrikKabisa cjui yupo wapi alikuwa na nywele nyingi
Ni kweli 2014 haikuwa michuano mizuri hasa kutokana na timu nyingi kubwa kuwa hovyo sana kiviwango.Kwa mtazamo wangu kwa miaka ya karibuni michuano ya 2014 na 2018 haikuwa na ubora sana kihivyo ilikuwa ya kawaida sana! Japo promo ilikuwa kubwa
Dah kweli alikuwa sio wa kuwahi kwenda clubs za marekaniYupo MX Club America, dogo career yake imeisha hovyo sana japo alikuwa na potential ya kuwa mchezaji mkubwa yeye na Borjan Krik
Sijui nisemeje sijui vipaji vinapungua au sioni wachezaji wa caliber ya enzi hizo, wachezi wa sasa wanabebwa sana na vyombo vya habari199
1998 inaonekana ilikuwa mizuri bahati mbaya sikuiona.Ila nilikuwa nawacheki wachezaji kwenye stickers ...Mafundi akina Taribo West(sasa hivi ni Baba Mchungaji),Babayaro,Babangida,Luis Figo,Bastistuta,Leonardo ,Francesco Toldo,Kluivert na mafundi wengine.Yani primary ilikuwa ni mwendo wa kununua bublish ili nimpate sticker ya Ronaldo wa Maua na kikosi cha Brazil
Sijui nisemeje sijui vipaji vinapungua au sioni wachezaji wa caliber ya enzi hizo, wachezi wa sasa wanabebwa sana na vyombo vya habari199
1998 inaonekana ilikuwa mizuri bahati mbaya sikuiona.Ila nilikuwa nawacheki wachezaji kwenye stickers ...Mafundi akina Taribo West(sasa hivi ni Baba Mchungaji),Babayaro,Babangida,Luis Figo,Bastistuta,Leonardo ,Francesco Toldo,Kluivert na mafundi wengine.Yani primary ilikuwa ni mwendo wa kununua bublish ili nimpate sticker ya Ronaldo wa Maua na kikosi cha Brazil
Aha mimi nasubiri hii ya 2022 ndo nitatoa maoni yangu.Tunazungumza michuano ambayo tayari imekwishachezwa mkuu
Sijui nisemeje sijui vipaji vinapungua au sioni wachezaji wa caliber ya enzi hizo, wachezi wa sasa wanabebwa sana na vyombo vya habari
Maisha yake Barcelona hayakuwa salama hasa ukizingatia aliibuka katika Barcelona iliyokuwa ina wachezaji wengi sana wenye ubora mkubwa.Dah kweli alikuwa sio wa kuwahi kwenda clubs za marekani
1994 mpaka 2006 ndiyo ulikuwa mwisho wa dunia kushuhudia vipaji vingi na halisi katika soka.Sijui nisemeje sijui vipaji vinapungua au sioni wachezaji wa caliber ya enzi hizo, wachezi wa sasa wanabebwa sana na vyombo vya habari
Vipaji vipo japo Modern football hairuhusu sana expression ya talents uwanjani, mpira wa sasa umetawaliwa na statistics zaidi kuliko art of the game.Zamani kulikuwa na vipaji sana, siku hizi vinepungua sana. Ndio maana haishangazi kuona Zlatan alishastaafu timu ya taifa miaka minne iliyopita lakini juzi juzi karudi tena akiwa na miaka 39
Vipaji vipo japo Modern football hairuhusu sana expression ya talents uwanjani, mpira wa sasa umetawaliwa na statistics zaidi kuliko art of the game.
Mpira wa sasa art of the game haipewi nafasi sana na statistics zinapewa kipaumbele uwanjani na kwenye media zetu.