Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasaNimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
Asante kwa somo zuri la Maarifa ya Jamii na Uraia na Maadili kwa mkupuo mmojaHiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasa
Tena mwambie ni nchi mbili ambazo hazipendaniHiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasa
Ni kama timu ya Burundi haiwezi kuonba mechi zake za nyumbani zichezwe Rwanda kama mazingira ya nyumbani hayarurusuTena mwambie ni nchi mbili ambazo haxipendani
AHiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasa
Uelewa wako ni mdogo kwenye hizi Mambo. Hizi ni timu za nchi tofauti. Hawa ni WA kutoka Sudan ile ya kina Salva Kiir, wale Weusi wa kusini.Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
We mzima kweli?Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
Kazi ipi hiyo ili nizamie hukomazingira na sifa za viwanja !. wewe mtoa mada unaweza kwenda kuishi huko kuna kazi mshahara usd 1500 kwa mwezi ila ndani ndani huko
Simba haina utaahira wa kushangilia wageni, upuuzi wanafanya mataahira wa Utopolo tu.Makolo safari hii mmepatikana yaani mnashindwa hata muanzaje kuishangilia hiyi Zalan