Michuano ya CAF haina tija, we umeona wapi timu inaomba mechi zao zote zichezwe Tanzania?

Michuano ya CAF haina tija, we umeona wapi timu inaomba mechi zao zote zichezwe Tanzania?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious.

Kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
 
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
Hiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasa
 
Jamaa hawa hapa kama wavuvi wametoka kuvua wanasubiria mgao.
tapatalk_-1045326327_264x375.jpg
tapatalk_843158430_480x360.jpg
 
Wewe ndo huelewei.. unadhani Zalan wamefanaya hvyo kwa kitaka..?

Jaribu kufuatilia nn tatizo ndo uje kuwatoa akili hapa.

Michuano yenye pesa na heshima kama hii kwann isiwe na Tija?
 
mazingira na sifa za viwanja !. wewe mtoa mada unaweza kwenda kuishi huko kuna kazi mshahara usd 1500 kwa mwezi ila ndani ndani huko
 
Najua kaka, shida ni why wasiombe kukipiga Sudan au siasa za uhasama hazijaisha
Hiyo Zalan ni ya Sudan kusini, hizo elmerekh na Alhilal ni za Sudan, hizo ni nchi 2 tofaut mkuu kwa sasa
A
 
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
Uelewa wako ni mdogo kwenye hizi Mambo. Hizi ni timu za nchi tofauti. Hawa ni WA kutoka Sudan ile ya kina Salva Kiir, wale Weusi wa kusini.

El Mereikh na El Hilal ni Sudan iliyokua ya Omar Al Bashir.

Lakini pili hii timu haiwezi kuomba Kwa ajili ya mechi "ZOTE MBILI" sababu wao wanawajibika Kwa mechi moja tu ya nyumbani. Mechi ya pili waombe wasiombe ni LAZIMA waje hapa, labda Yanga ndio aamue vinginevyo.

Tatu wanataka kuja kuzoea mazingira. After mechi ya kwanza sidhani kama watarudi kwao kisha waje tena kwenye mechi ya pili.
 
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious, kwann gemu isipigwe uwanja wa Al Hilal au El Merreikh, hawaoni gemu kupigwa bongo ni kupoteza muda na bora wangekaa kwao huko Sudan.
We mzima kweli?

Fahamu hao El Merreikh na Al Hilal wanatoka Sudan na hao Zalan wanatoka South Sudan
 
Wew unaweweseka bure tu yanga lazima watoke wale odumani sio watu wazuri iv unamjua lilepo wewe
 
Makolo safari hii mmepatikana yaani mnashindwa hata muanzaje kuishangilia hiyi Zalan
 
Back
Top Bottom