logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kusimamishwa kazi bila malipo??Kusimama kwa ligi nyingi duniani kwa sisi watu wakubeti ni Sawa na kufukuzwa kazi
Naomba unifafanulie Hili maana nimeshindwa kukuelewa team ambazo zinawania big four je utaratibu utakuaje?Bro .
*Ligi inaweza kufutwa na inawezekana vzur Liverpool asiwe bingwa*
Issue iko hivi.... Kama janga litaendelea na kusababisha shughuli zote kuendelea kusimama basi mashindano yote yatafutwa na kuanza upya mwaka ujao/msimu ujao hii ni kutokana na sheria ya *Natural Calamities/Hazardous* .
Kuhusu kupata washiriki wa mashindano ya kimataifa mfano uefa nk kwa pale ulaya wao wanatumia matokeo ya mwaka uliopita before tatizo kutokea (Wanafanya rewinds/refresh) ivyo kupata wawakirishi haina shida kama wengi mnavyodhani.
*kwann ligi ikisimama muda mrefu Liverpool apewi ubingwa?*
Liverpool anaweza kuukosa ubingwa kutokana na kwamba mpaka sasa hajatawazwa kuwa bingwa....apo alipo Liverpool MTU wa pili anaweza kufika na kuzid ivyo hakuna sababu inayomfanya Liverpool awe bingwa.
Mwaka mmoja kabla ya vita ya kwanza ya dunia *Everton* walipewa ubingwa wa ligi baada ya ligi kuwa imesimama kwa muda kutokana na machafuko....ila sababu iliyompa Everton kombe ndo iyo inayomyima Liverpool kombe kwamba point za Everton zilikuwa haziwez kufikiwa na timu yoyote ila za Liverpool znaweza fikiwa ndo maana hawez kupewa kombe kama ligi itafutwa kutokana na sheria.
Kuna viongozi wa timu mbalimbali ,wachezaji,wamilik nk wengi wapo tyr kuona ligi ikisimama kwa muda na hata kufutwa kama ugonjwa utaendelea kuwa tatizo kubwa pale UK....
Namnukuu *Jurgen kloop* "Tunajua kuwa hali si salama kwa sasa ndo maana ligi imesimama,hatupendi kucheza mechi zetu bila mashabiki wetu kuona tunafanya nn arafu wapate matokeo, kama kuna utaratibu wa kuendesha hili kwa usalama wa MTU mmoja au kundi basi sina budi kusema ni swala jema kuhakikisha kila afya ya mmoja inakuwa salama"
*Mesult Ozil* yeye anasema kwamba "Uhai ni zaidi ya chochote ni jukumu LA kila MTU kuhakikisha anajikinga na kujilinda kuhakikisha hapati ugonjwa huu wa dunia...tuwashukuru waganga,nurse na wauguz wanaofanya kazi mazingira magumu kuhakikisha wanapata tiba"
Wapo watu wengi wamezungumza juu ya corona na kusima kwa shughuli mbalimbali.
*Ivyo issue ya kufuta ligi iko kwa sura iyo* kama muda wa kusubiri utakuwa mrefu watafuta ila ikiaonekana pia kuna alternative ways itafanyika .
Kuna mdau alitabiri humu jukwaani siku za nyuma kua Liverpool wanaweza kuukosa ubingwa pia mwaka huu sababu ya coronaLiverpool ubingwa unayeyuka
watachambua mcheleSasa wale wachambuzi wa footbal la nje watachambua nini?Kama nawaona Kina EDO KUMWEMBE NA GEORGE AMBAGILE WANAVYOSIKITIKA.
Dua la kuku halimpati mwewe,timu ipi unadhani inastahili kuchukua UbInGwA wa Epl msimu huu,ukiondoa Liverpool?Liverpool ubingwa unayeyuka
Siku hazigandi,furaha ya EPL itarejea na wachambuzi watameki bingo Kama kawaida.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa wale wachambuzi wa footbal la nje watachambua nini?Kama nawaona Kina EDO KUMWEMBE NA GEORGE AMBAGILE WANAVYOSIKITIKA.
Hiki ulichokiandika upande wa Kisheria ni kweli lakini Mfano ulioutolea kwa Everton kuwa Bingwa katika Msimu wa 1914-1915(kipindi cha Vita ya kwanza ya Dunia),ligi ilikwisha kabisa zilichezwa mechi zote na Everton alikuwa bingwa kwa tofauti ya pointi 1 dhidi ya Oldham Athletic.Bro .
*Ligi inaweza kufutwa na inawezekana vzur Liverpool asiwe bingwa*
Issue iko hivi.... Kama janga litaendelea na kusababisha shughuli zote kuendelea kusimama basi mashindano yote yatafutwa na kuanza upya mwaka ujao/msimu ujao hii ni kutokana na sheria ya *Natural Calamities/Hazardous* .
Kuhusu kupata washiriki wa mashindano ya kimataifa mfano uefa nk kwa pale ulaya wao wanatumia matokeo ya mwaka uliopita before tatizo kutokea (Wanafanya rewinds/refresh) ivyo kupata wawakirishi haina shida kama wengi mnavyodhani.
*kwann ligi ikisimama muda mrefu Liverpool apewi ubingwa?*
Liverpool anaweza kuukosa ubingwa kutokana na kwamba mpaka sasa hajatawazwa kuwa bingwa....apo alipo Liverpool MTU wa pili anaweza kufika na kuzid ivyo hakuna sababu inayomfanya Liverpool awe bingwa.
Mwaka mmoja kabla ya vita ya kwanza ya dunia *Everton* walipewa ubingwa wa ligi baada ya ligi kuwa imesimama kwa muda kutokana na machafuko....ila sababu iliyompa Everton kombe ndo iyo inayomyima Liverpool kombe kwamba point za Everton zilikuwa haziwez kufikiwa na timu yoyote ila za Liverpool znaweza fikiwa ndo maana hawez kupewa kombe kama ligi itafutwa kutokana na sheria.
Kuna viongozi wa timu mbalimbali ,wachezaji,wamilik nk wengi wapo tyr kuona ligi ikisimama kwa muda na hata kufutwa kama ugonjwa utaendelea kuwa tatizo kubwa pale UK....
Namnukuu *Jurgen kloop* "Tunajua kuwa hali si salama kwa sasa ndo maana ligi imesimama,hatupendi kucheza mechi zetu bila mashabiki wetu kuona tunafanya nn arafu wapate matokeo, kama kuna utaratibu wa kuendesha hili kwa usalama wa MTU mmoja au kundi basi sina budi kusema ni swala jema kuhakikisha kila afya ya mmoja inakuwa salama"
*Mesult Ozil* yeye anasema kwamba "Uhai ni zaidi ya chochote ni jukumu LA kila MTU kuhakikisha anajikinga na kujilinda kuhakikisha hapati ugonjwa huu wa dunia...tuwashukuru waganga,nurse na wauguz wanaofanya kazi mazingira magumu kuhakikisha wanapata tiba"
Wapo watu wengi wamezungumza juu ya corona na kusima kwa shughuli mbalimbali.
*Ivyo issue ya kufuta ligi iko kwa sura iyo* kama muda wa kusubiri utakuwa mrefu watafuta ila ikiaonekana pia kuna alternative ways itafanyika .
Sasa wale wachambuzi wa footbal la nje watachambua nini?Kama nawaona Kina EDO KUMWEMBE NA GEORGE AMBAGILE WANAVYOSIKITIKA.
Bro .

Je vipi kwa wanaowania big 4?Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mshabiki wa Liverpool.
Hiki ulichoandika hakiwezi kutokea, Liverpool atapewa ubingwa.
Je vipi kwa wanaowania big 4?
yaani siku imepoa hatari jumamosi ya jana iko kama juma 3Leo ndio nimeuona uchungu wa Corona tokea imelipuka pele Wuhan. Tutaishi vipi bila league za soka? Kwanini lakini Corona. [emoji24][emoji24][emoji24]
Too sadimagine my life without football for three weeks [emoji24][emoji24]