Michuano ya soka England yasitishwa hadi Aprili 3 kutoka na Corona

Bro .

*Ligi inaweza kufutwa na inawezekana vzur Liverpool asiwe bingwa*

Issue iko hivi.... Kama janga litaendelea na kusababisha shughuli zote kuendelea kusimama basi mashindano yote yatafutwa na kuanza upya mwaka ujao/msimu ujao hii ni kutokana na sheria ya *Natural Calamities/Hazardous* .

Kuhusu kupata washiriki wa mashindano ya kimataifa mfano uefa nk kwa pale ulaya wao wanatumia matokeo ya mwaka uliopita before tatizo kutokea (Wanafanya rewinds/refresh) ivyo kupata wawakirishi haina shida kama wengi mnavyodhani.

*kwann ligi ikisimama muda mrefu Liverpool apewi ubingwa?*

Liverpool anaweza kuukosa ubingwa kutokana na kwamba mpaka sasa hajatawazwa kuwa bingwa....apo alipo Liverpool MTU wa pili anaweza kufika na kuzid ivyo hakuna sababu inayomfanya Liverpool awe bingwa.

Mwaka mmoja kabla ya vita ya kwanza ya dunia *Everton* walipewa ubingwa wa ligi baada ya ligi kuwa imesimama kwa muda kutokana na machafuko....ila sababu iliyompa Everton kombe ndo iyo inayomyima Liverpool kombe kwamba point za Everton zilikuwa haziwez kufikiwa na timu yoyote ila za Liverpool znaweza fikiwa ndo maana hawez kupewa kombe kama ligi itafutwa kutokana na sheria.

Kuna viongozi wa timu mbalimbali ,wachezaji,wamilik nk wengi wapo tyr kuona ligi ikisimama kwa muda na hata kufutwa kama ugonjwa utaendelea kuwa tatizo kubwa pale UK....

Namnukuu *Jurgen kloop* "Tunajua kuwa hali si salama kwa sasa ndo maana ligi imesimama,hatupendi kucheza mechi zetu bila mashabiki wetu kuona tunafanya nn arafu wapate matokeo, kama kuna utaratibu wa kuendesha hili kwa usalama wa MTU mmoja au kundi basi sina budi kusema ni swala jema kuhakikisha kila afya ya mmoja inakuwa salama"

*Mesult Ozil* yeye anasema kwamba "Uhai ni zaidi ya chochote ni jukumu LA kila MTU kuhakikisha anajikinga na kujilinda kuhakikisha hapati ugonjwa huu wa dunia...tuwashukuru waganga,nurse na wauguz wanaofanya kazi mazingira magumu kuhakikisha wanapata tiba"

Wapo watu wengi wamezungumza juu ya corona na kusima kwa shughuli mbalimbali.

*Ivyo issue ya kufuta ligi iko kwa sura iyo* kama muda wa kusubiri utakuwa mrefu watafuta ila ikiaonekana pia kuna alternative ways itafanyika .
 
Naomba unifafanulie Hili maana nimeshindwa kukuelewa team ambazo zinawania big four je utaratibu utakuaje?
 
Hiki ulichokiandika upande wa Kisheria ni kweli lakini Mfano ulioutolea kwa Everton kuwa Bingwa katika Msimu wa 1914-1915(kipindi cha Vita ya kwanza ya Dunia),ligi ilikwisha kabisa zilichezwa mechi zote na Everton alikuwa bingwa kwa tofauti ya pointi 1 dhidi ya Oldham Athletic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wale wachambuzi wa footbal la nje watachambua nini?Kama nawaona Kina EDO KUMWEMBE NA GEORGE AMBAGILE WANAVYOSIKITIKA.

Hii statement inaonesha kwamba jamaa wanapotekeleza majukumu yao inakuuma sana.

Bado hawatalala njaa, ligi itarudi na wataendelea na kazi.
 
Bro .

*Ligi inaweza kufutwa na inawezekana vzur Liverpool asiwe bingwa*

Issue iko hivi.... Kama janga litaendelea na kusababisha shughuli zote kuendelea kusimama basi mashindano yote yatafutwa na kuanza upya mwaka ujao/msimu ujao hii ni kutokana na sheria ya *Natural Calamities/Hazardous* .

Kuhusu kupata washiriki wa mashindano ya kimataifa mfano uefa nk kwa pale ulaya wao wanatumia matokeo ya mwaka uliopita before tatizo kutokea (Wanafanya rewinds/refresh) ivyo kupata wawakirishi haina shida kama wengi mnavyodhani.

*kwann ligi ikisimama muda mrefu Liverpool apewi ubingwa?*

Liverpool anaweza kuukosa ubingwa kutokana na kwamba mpaka sasa hajatawazwa kuwa bingwa....apo alipo Liverpool MTU wa pili anaweza kufika na kuzid ivyo hakuna sababu inayomfanya Liverpool awe bingwa.

Mwaka mmoja kabla ya vita ya kwanza ya dunia *Everton* walipewa ubingwa wa ligi baada ya ligi kuwa imesimama kwa muda kutokana na machafuko....ila sababu iliyompa Everton kombe ndo iyo inayomyima Liverpool kombe kwamba point za Everton zilikuwa haziwez kufikiwa na timu yoyote ila za Liverpool znaweza fikiwa ndo maana hawez kupewa kombe kama ligi itafutwa kutokana na sheria.

Kuna viongozi wa timu mbalimbali ,wachezaji,wamilik nk wengi wapo tyr kuona ligi ikisimama kwa muda na hata kufutwa kama ugonjwa utaendelea kuwa tatizo kubwa pale UK....

Namnukuu *Jurgen kloop* "Tunajua kuwa hali si salama kwa sasa ndo maana ligi imesimama,hatupendi kucheza mechi zetu bila mashabiki wetu kuona tunafanya nn arafu wapate matokeo, kama kuna utaratibu wa kuendesha hili kwa usalama wa MTU mmoja au kundi basi sina budi kusema ni swala jema kuhakikisha kila afya ya mmoja inakuwa salama"

*Mesult Ozil* yeye anasema kwamba "Uhai ni zaidi ya chochote ni jukumu LA kila MTU kuhakikisha anajikinga na kujilinda kuhakikisha hapati ugonjwa huu wa dunia...tuwashukuru waganga,nurse na wauguz wanaofanya kazi mazingira magumu kuhakikisha wanapata tiba"

Wapo watu wengi wamezungumza juu ya corona na kusima kwa shughuli mbalimbali.

*Ivyo issue ya kufuta ligi iko kwa sura iyo* kama muda wa kusubiri utakuwa mrefu watafuta ila ikiaonekana pia kuna alternative ways itafanyika .

Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mshabiki wa Liverpool.

Hiki ulichoandika hakiwezi kutokea, Liverpool atapewa ubingwa.
 
Je vipi kwa wanaowania big 4?

Hakuna decision mpaka sasa, lakini likelihood ni Eiro 2020 kusogezwa 2021 ili kupisha ligi zimaliziwe.

Kama zisipomaliziwa lazima utawekwa utaratibu wa kupata washiriki wa UEFA na watakaoshuka.

Kuna advise kwamba Liverpool apewe ubingwa, positions ziwe zilivyo na isishuke timu, ila zipande timu 2 kufanya ligi yenye 22 teams ili atleast kufanya compensation ya games zilizoachwa kuchezwa. Hii bado pia siyo official.
 
Back
Top Bottom