Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais. Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi. Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI!

USINIULIZE SOURCE TAFADHALI!
Hii imekaaje? Mpinga picha ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari?

Kibonde anakauka koo tu kwa kubwabwaja tu kwenye Radio ya wafu wakati wenzake wanakula mashavu kudadadeki.
Alikuwa anafanya kazi ya kupiga picha ingawa pia ana fani ya uandishi wa habari. Mbona inaeleweka kirahisi tu.
Kibonde anakauka koo tu kwa kubwabwaja tu kwenye Radio ya wafu wakati wenzake wanakula mashavu kudadadeki.
Siwezi kushangaa sababu safari nyingi za JK za Ulaya na Marekani uwa anasafiri na Michuzi