Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

Inabidi ifike mahala kama ni kweli tupongezane tu
 
Michuzi ni usalama wa Taifa na tena humpelekea mkulu habari nyingi za mitaani, naona sasa ameamua kumkaribisha ubavuni kwake kabisa


hivi mnaelewa maana ya usalama wa taifa au mnasema sema tu...yaani michuzi awe state intelligence officer? kheee kazi kweli kweli
 
Breaking news, Lowassa ateuliwa kuwa makamu wa rais wa Tanzania kuanzia leo asubuhi. Pia Salma Kikwete ameteuliwa kuwa waziri wa fedha huku Ridhiwani akiteuliwa kuwa jaji mkuu wa Tanzania. Mpumbavu huamini kila kitu. Michuzi na uandishi wa habari wapi na wapi?
 
Muhidin Issa Michuzi SI UWT,
Yeye ni mwandishi wa habari mpiga picha
 
Back
Top Bottom