Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais.

Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.

Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI
!
it is OK! NEWS STREAM AS RECEIVED.
 
taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa daily news (ukipenda daily noise) muhidin issa michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa rais.

Haijulikani kama premi kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.

Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. Usiniulize source tafadhali
!

hongera mwidini
 
Ukweli ni kwamba Michuzi amepelekwa Ikulu kuwa mpiga picha wa Rais, kushika nafasi ya Freddy Maro, ambaye ameenda training. Huyu amechukuliwa kutoka Daily News tangu 1st November. Hata huyo Freddy Maro alitokea Daily News kwenda Ikulu enzi za Che Nkapa. Wakati ule watu wengine walidai ni ndugu yake Anna Nkapa. Mie sina uhakika na hilo.
 
So the Michuzi Blog itakuwa blog rasmi ya ke-report mambo ya bwana JK!!!

We are waiting to see......
 
Michuzi ni usalama wa Taifa na tena humpelekea mkulu habari nyingi za mitaani, naona sasa ameamua kumkaribisha ubavuni kwake kabisa


Watu wajulikana kwa matendo yao....what I do defines who I am, 1000%
 
Kwa sasa sitatoa maoni yangu, Hii iliwahi kubndikwa hapa siku za nyuma (kama miaka 5 imepita) baadae ikaoniekana sio kweli.
 
amefanya vizuri kuongeza idadi ya washauri wa karibu.
 
Kama ni kweli hongera yake! Sioni tatizo kama mtu amepandishwa cheo kwa uchapakazi wake
 
Michuzi ni m2 waTISS siku nyingi xana.

tatizo watz waleo kila anayekuwa anajipendekeza kwa ccm/ rais basi ni usalama wa taifa. na wengine hata unawakuta kwenye uhalifu , rushwa, utapeli huku wanajiita usalama wa taifa. acheni kuwa wavivu wa kufikiri
michuzi ni mpiga picha wa siku nyingi wa gazeti la serikali. lakini pia ni mpambe wa JK na CCM. angalieni kwenye birthday ya blog yake aliwashukuru akina nani? kumbukeni kuwa huyu mtu amekuwa akitumia facilities za serikali ktkt mambo ya blog yake-anasafiri ziara ya serikali anapiga picha anapost kwa blog yake,inawezekana kwakuwa pia ana promote chama cha baba mwenye nyumba. kwenda kupiga picha ikulu kwake ni kama kuhama idara- ni sawa anakuwa promoted, lakini si kweli kuwa kufanya ikulu ndo usalama wa taifa.
 
ww mpumbavu na mjinga, maana siwezi kusema mdini wenye dini hawafanyi kama ufanyavyo.

kwa hio akichagua wakristo anakuwa anawasaidia wakristo? kwa nn tunapenda kuendekeza haya maradhi ya kijinga. tuzungumze mapungufu au uwezo wa mtu bila ya kuhusisha dini, be constructive
 
yeah... he has earned it; kwa mfumo uliopo
 
sio mbaya kama kawa mwandshi msaidizi .kwa sababu hata kama alijikita kwny photo journalsm pia una weza kuwa mwandishi kwa sababu huwezi kuwa photo journalist bila kuanza na uandishi,good for him
 
Back
Top Bottom