it is OK! NEWS STREAM AS RECEIVED.Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais.
Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.
Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI!
taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa daily news (ukipenda daily noise) muhidin issa michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa rais.
Haijulikani kama premi kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.
Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. Usiniulize source tafadhali!
Michuzi ni usalama wa Taifa na tena humpelekea mkulu habari nyingi za mitaani, naona sasa ameamua kumkaribisha ubavuni kwake kabisa
Swaibaaaa......Meaning what? Kuwa amepata uwezo/uzoefu wa kazi kwa kusafiri naye au?
Waswahili bwanaaa, yaani umeamini habari hii!!!!Michuzi ni usalama wa Taifa na tena humpelekea mkulu habari nyingi za mitaani, naona sasa ameamua kumkaribisha ubavuni kwake kabisa
ananyanyua waislam wenzake
zile picha za mkulu za kubembea hazikutokea vizuri...............sasa amechukua mtaalamu..........tegemeeni mambo mazuri kule kwenye facebook.
Michuzi ni m2 waTISS siku nyingi xana.
Hii imekaaje? Mpinga picha ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari?
Kibonde anakauka koo tu kwa kubwabwaja tu kwenye Radio ya wafu wakati wenzake wanakula mashavu kudadadeki.