๐— ๐—ถ๐—ฐ๐—ฟ๐—ผ๐˜€๐—ผ๐—ณ๐˜ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฏ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐—ต๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250731_214757_0000.png

Moja kati ya tukio la kushangaza lilitokea mwaka 2010 ni Microsoft iliweza kumdhihaki Apple baada ya Microsoft kutoa simu mpya ya windows unajua ilikuwaje ๐Ÿ˜.

Ilikua mnamo mwaka 2010 iliweza kutoa kauli ya ujasiri kwa kufanya mazishi ya iphone baada ya kutolewa kwa simu mpya ya windows 7 phone. Kampuni hiyo ilikua na lengo la kupinga utawala wa apple na Os yake ya simu.

2_20250731_214757_0001.png
3_20250731_214757_0002.png
6_20250731_214757_0005.png

Iliweza kuleta wimbi la ushindani katika soko la simu za smartphone, ilipoingia sokoni tulitegemea kweli Microsoft watawapoteza kabisa Apple lakini ikawa mengineyo ambapo Apple ndo kwanza akaw anakuja Kwa Kasi.

๐Ÿ˜ Kumbe Microsoft walikua wanajitengenezea kaburi lao bhana ๐Ÿƒ mpaka leo hii kwenye simu Microsoft wamepotea ila Apple wako juu ila lilikua tangazo la kipekee sana Miaka hiyo.
 
Attachments

  • 7_20250731_214757_0006.png
    7_20250731_214757_0006.png
    2.5 MB · Views: 30
View attachment 3426498

Moja kati ya tukio la kushangaza lilitokea mwaka 2010 ni Microsoft iliweza kumdhihaki Apple baada ya Microsoft kutoa simu mpya ya windows unajua ilikuwaje ๐Ÿ˜.

Ilikua mnamo mwaka 2010 iliweza kutoa kauli ya ujasiri kwa kufanya mazishi ya iphone baada ya kutolewa kwa simu mpya ya windows 7 phone. Kampuni hiyo ilikua na lengo la kupinga utawala wa apple na Os yake ya simu.

View attachment 3426500View attachment 3426501View attachment 3426504

Iliweza kuleta wimbi la ushindani katika soko la simu za smartphone, ilipoingia sokoni tulitegemea kweli Microsoft watawapoteza kabisa Apple lakini ikawa mengineyo ambapo Apple ndo kwanza akaw anakuja Kwa Kasi.

๐Ÿ˜ Kumbe Microsoft walikua wanajitengenezea kaburi lao bhana ๐Ÿƒ mpaka leo hii kwenye simu Microsoft wamepotea ila Apple wako juu ila lilikua tangazo la kipekee sana Miaka hiyo.
Yule CEO wao aliua zile simu ila wangesubiri kidogo wangetoa. Kumbuka wao ndio walianzisha flat interface ambapo kila mtu aliwaona kama wamechemka ila mwisho kila kifaa kikaja kuwa na flat interface
 
Back
Top Bottom