View attachment 3426498
Moja kati ya tukio la kushangaza lilitokea mwaka 2010 ni Microsoft iliweza kumdhihaki Apple baada ya Microsoft kutoa simu mpya ya windows unajua ilikuwaje ๐.
Ilikua mnamo mwaka 2010 iliweza kutoa kauli ya ujasiri kwa kufanya mazishi ya iphone baada ya kutolewa kwa simu mpya ya windows 7 phone. Kampuni hiyo ilikua na lengo la kupinga utawala wa apple na Os yake ya simu.
View attachment 3426500View attachment 3426501View attachment 3426504
Iliweza kuleta wimbi la ushindani katika soko la simu za smartphone, ilipoingia sokoni tulitegemea kweli Microsoft watawapoteza kabisa Apple lakini ikawa mengineyo ambapo Apple ndo kwanza akaw anakuja Kwa Kasi.
๐ Kumbe Microsoft walikua wanajitengenezea kaburi lao bhana ๐ mpaka leo hii kwenye simu Microsoft wamepotea ila Apple wako juu ila lilikua tangazo la kipekee sana Miaka hiyo.