Microsoft Wameitambulisha Microsoft 365 Copilot

Microsoft Wameitambulisha Microsoft 365 Copilot

Amazon prime ni membership ya Amazon, ukiwa nayo unapata vitu kama

1. Amazon prime video, hii ni kama Netflix kuna movies, Series unaangalia

2. Amazon Prime Gaming, hapa kila wiki kunapostiwa Games za kulipia bure na unapewa in App purchase bure kama Za fifa Ultimate Team

3. Kunakuwa na unafuu wa Shipping ukinunua Vitu Amazon etc.

Ebay huwa mara nyingi unapata hizi Email/prime membership. Ukikosa Google "MPGH elite trading" utapata wauzaji wa kutosha kule.
Nimeelewa mkuu, shukrani
 
365 ni kama Office ya kawaida ila inalipiwa kwa mwezi yenyewe, unapata latest version ambayo ipo sokoni. Inakuja na vikando kando vingine kama 1TB ya cloud storage, Feature zaidi ambazo hazipo office ya kawaida, Cross platform compability (unatumia simu, Pc na kifaa chochote chenye browser na internet).
Noted
 
Back
Top Bottom