Mida gani ya Mishikaki ya Salma Cone?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Salaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki mixer kachumbari na ukwaju ulio kwenda shule ambavyo huwezi kuvipata popote pale duniani isipokuwa hapo Salma Cone. Wadau wa mishikaki ya SALA CONE MZA ni mida gani mishikaki hiyo inakuwa tayari ? With much thanx in advance.
 
Angalia usipate ya nyau, au mbwa walio gongwa barabarani mkuu.
 
Napendelea mida ya jioni jioni kuanzia saa kumi, maana kunakuwa na kautulivu kwa mbaali.

Naona siku hizi mangosha wanachukua takeaway zao wanapanda juu ya daraja jipya la waenda kwa miguu pembeni ya Rock City hapo wanatafuna mishikaki mpaka inaisha huku wanauza sura kufurahia matunda ya awamu ya 5.

All in all karibu kona ya Bwiru tuongeze fat mwilini.
 
Asante sana bro. Rocl City iko poa sana. Nafurahia kila dakika . Ngoja nianze kusogea sogea hapo Salma Cone nichukue mishikaki yangu.
 
KWA KINYE mda huu mambo bado,tegea tegea around saa kumi na moja jioni ndo mida yake ya kufungua
 
Na mie nakuja
weeeeeeeeeeeeee. nije? hebu tuwasiliane 0282540529 nije tule mishikaki hiyo
 
KWA KINYE mda huu mambo bado,tegea tegea around saa kumi na moja jioni ndo mida yake ya kufungua
Asante sana broo. Around saa kumi na moja nitakuwa maeneo hayo. Ile mishikaki si ya dunia hii.
 
Tukutane hapo ms basi
 
Kumbe wewe ni jirani yangu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…