LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Salaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki mixer kachumbari na ukwaju ulio kwenda shule ambavyo huwezi kuvipata popote pale duniani isipokuwa hapo Salma Cone. Wadau wa mishikaki ya SALA CONE MZA ni mida gani mishikaki hiyo inakuwa tayari ? With much thanx in advance.