Dah sio poa hizi kazi zinawenyewe manHahahahaha...mie nilijaribu nikachemka ikabidi nikae pale petrol station mwana atoke nimalizane nae ukizingatia ni vitu vya kuvaa mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sio poa hizi kazi zinawenyewe manHahahahaha...mie nilijaribu nikachemka ikabidi nikae pale petrol station mwana atoke nimalizane nae ukizingatia ni vitu vya kuvaa mwenyewe
Sio uongo mkuu maana time hiyo wafanyabiashara ndio huenda chukua mzigo, kwa sasa sijui maana toka soko liungue sijawahi kwendaIla hapo kwenye kiatu kuuzwa 8K karume halafu mwenge 100K.
Mbona gap kubwa sana.
Mimi pia mitumba siifagilii sana kwanza hadi upate inayokufaa ni mtiti ulenge sana yaani haitabiliki labda kiatu sawa ni rahisi kupata.Achana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
Jinzi mpya nzito 16 hahahahhahaaa mkuu iyo ni bei ya China au wapi? Airforce au air Jordan ya 35 to 45 unazungumzia raba au yale Maputo ukivaa mwez yanatoa upepo ? Jez ya 15 ip iyo boss au unazungumzia zile ambazo ukikaa nazo Juani zina nata kwenye ngoz ... Acha kumdanganya bana bora avae tu ayo ma yuzidi hahahahahhahahaAchana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
Wee acha kabisaAta mimi niliwahi jaribu nikachemka maana sio kwa mtiti ule
Mbona ndo bei za jumla mjini hizo? Kama unanunua jinzi 20k rejareja unafikiri yy kanunua sh ngapi?Jinzi mpya nzito 16 hahahahhahaaa mkuu iyo ni bei ya China au wapi? Airforce au air Jordan ya 35 to 45 unazungumzia raba au yale Maputo ukivaa mwez yanatoa upepo ? Jez ya 15 ip iyo boss au unazungumzia zile ambazo ukikaa nazo Juani zina nata kwenye ngoz ... Acha kumdanganya bana bora avae tu ayo ma yuzidi hahahahahhahaha
Unadhani kila MTUMBA umevaliwa mwingine unakusanywa Kama sale madukani na ndio huo unakuta mpyaaAchana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
Siku hizi karume hakutoki viatu vikali kama zamani,sijui tatizo nini?Nenda zako hadi Karume pale. Hakikisha saa kumi kasoro inakukuta Karume. Mida hiyo wananafungua mabaloo ya mitumba grade one.
Viatu ambavyo utavipata kwenye maduka ya Mwenge na kinondoni kwa shilingi laki moja na nusu, hapo Karume utavipata kwa shilingi elfu 8 hadi 10. Chukua kama pea zako tatu au 5.
Ukitoka hapo, sogea Ilala sokoni pale, mida ya saa kumi na moja uwe hapo Ilala sokoni. Kuanzia mida hiyo hadi saa kumi na mbili huwaga wanafungua mabaloo ya mitumba grade 1. Zile jeans Kali ambazo utazinunua kwenye maduka ya mwenge au Kinondoni kwa shilingi Elfu 40 hadi hamsini, hapo utazipata kwa shilingi elfu 5. Chukua jeans zako pea kumi. Yale mashati na t shirt Kali ambazo maduka ya kinondoni na mwenge utauziwa kwa sh elfu 30, hapo Ilala utapata kwa sh elfu 5. Chukua mashati yako plus t.shirt kama.pea saba hivi. Na kama unataka kuchukua na nguo za watoto, zile nguo za watoto ambazo kwenye maduka.ya Sinza mwenge na kinondoni inauziwa kwa sh elfu 30 hadi 50 basi hapo Ilala utapata kwa shilingi elfu 4 kila.nguo. Chukua nguo zako Rudi zako nyumbani nenda kapendeze na watoto wako...
Na huu ndiyo imekaa karume sasa hivi.Unadhani kila MTUMBA umevaliwa mwingine unakusanywa Kama sale madukani na ndio huo unakuta mpyaa
Mm jezi hata ukinipa bure sivai, sijui huo nalionaje hilo vazi..unakuta mtu kapiga jins kali na raba katupia li jezi juu, dooh!Achana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wakazi wa kigoma,
Amka saa kumi alfajiri, tukutane pale ujiji, hakikisha na nusu uwe umefika tukawange zetu.
AsanteJumamosi itakua JF get together Karume hapo saa 9 alfajiri
ukiona mtu kavaa belo jekundu na ndula kubwa ya kaki ujue ndo spidernyoka
Oya unazingua pakubwa,ujiji ni mji mtakatifu hauna hizo mambo za Sumbawanga.Kwa wakazi wa kigoma,
Amka saa kumi alfajiri, tukutane pale ujiji, hakikisha na nusu uwe umefika tukawange zetu.