Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hii ni kwel braza, haya yamekua maisha yangu toka nikiwa chuo mpaka naanza kazi. Very true yanThanks ila code iwe ya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwel braza, haya yamekua maisha yangu toka nikiwa chuo mpaka naanza kazi. Very true yanThanks ila code iwe ya kweli
Zibane zisidondokeNimemuonyesha Mwa J huu uzi, amefurahi hadi sehem zake za uzazi zimetikisika...🤣
Big up sana mkuuJumamosi itakua JF get together Karume hapo saa 9 alfajiri
ukiona mtu kavaa belo jekundu na ndula kubwa ya kaki ujue ndo spidernyoka
Huyo Mwa J dada yake adriz ? Mtimue huyo shemeji yako akajitegemee. Kazi kuimba imba qaswidah tu hapo sebuleni.Nimemuonyesha Mwa J huu uzi, amefurahi hadi sehem zake za uzazi zimetikisika...🤣
Wala haina shida mkuu. Asante usijali.Wapi hapo?
Wamemvuruga huyu jamaa huko mtwaraPole kwa safari
Maghayo mbona ndio zake hizo?Sa tisa alfajiri mbona mtiti sasa
😂😂😂😂😂😂😂 Huyu huyu wa kufanya challenge TikTok au kuna mwingine etyMaghayo mbona ndio zake hizo?
Unafikiri ni rahisi Sana. Nenda halafu ulete mrejesho. Ukiwa mgeni utajulikana na hutauziwa kwa bei hiyo Kamwe kama 'wenyeji' wanavyouziwa. Kwanza hata lugha wanayotumia hutaielewa kamwe.Nenda zako hadi Karume pale. Hakikisha saa kumi kasoro inakukuta Karume. Mida hiyo wananafungua mabaloo ya mitumba grade one.
Viatu ambavyo utavipata kwenye maduka ya Mwenge na kinondoni kwa shilingi laki moja na nusu, hapo Karume utavipata kwa shilingi elfu 8 hadi 10. Chukua kama pea zako tatu au 5.
Ukitoka hapo, sogea Ilala sokoni pale, mida ya saa kumi na moja uwe hapo Ilala sokoni. Kuanzia mida hiyo hadi saa kumi na mbili huwaga wanafungua mabaloo ya mitumba grade 1. Zile jeans Kali ambazo utazinunua kwenye maduka ya mwenge au Kinondoni kwa shilingi Elfu 40 hadi hamsini, hapo utazipata kwa shilingi elfu 5.
Chukua jeans zako pea kumi. Yale mashati na t shirt Kali ambazo maduka ya kinondoni na mwenge utauziwa kwa sh elfu 30, hapo Ilala utapata kwa sh elfu 5. Chukua mashati yako plus t.shirt kama.pea saba hivi. Na kama unataka kuchukua na nguo za watoto, zile nguo za watoto ambazo kwenye maduka ya Sinza mwenge na kinondoni inauziwa kwa sh elfu 30 hadi 50 basi hapo Ilala utapata kwa shilingi elfu 4 kila.nguo. Chukua nguo zako Rudi zako nyumbani nenda kapendeze na watoto wako...
kwa wingi mzigo utakaokuwa nao saa ya kurudi ingependeza utumie usafiri wa tororiNichukue usafiri wa boda boda au baiskeli?
IlikuwajeNiliwahi jaribu hii enzi za nyuma kdg aisee , kama hujazoea unaeza chemka mapema tu
Kuna mtiti gan huku mkuu tuambizane mapema alikukabiliana na huo mtitiAta mimi niliwahi jaribu nikachemka maana sio kwa mtiti ule
Basi ni fursa hiiHii ni kwel braza, haya yamekua maisha yangu toka nikiwa chuo mpaka naanza kazi. Very true yan
Nahs kakosea mm nilienda mida ya saa 3 na nilikuwa nimechelewa nikakuta vile viatu vya italy brands kubwa ambavyo madukan wanauza 150,000 nikakuta wanauza had 55k a ni vikal balaa sasa kama ningewah nahs ningeuziwa had 40k au 30kIla hapo kwenye kiatu kuuzwa 8K karume halafu mwenge 100K.
Mbona gap kubwa sana.