Midahalo ya Wahubiri Wakristo na masheikh Waislamu huwa myepesi sana, sasa ingefaa iwe na Atheists.

Midahalo ya Wahubiri Wakristo na masheikh Waislamu huwa myepesi sana, sasa ingefaa iwe na Atheists.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hii midahalo ya Wakristo na Waislamu ya tangu enzi za Mkapa huko Mwembechai mpaka siku hizi online huwa myepesi na hoja nyepesi pamoja vituko tu zaidi.

Hata midahalo dhidi ya Wasabato na wanaobishania utatu au nafsi moja kati ya Wakristo nayo ni dhaifu sana iliyopooza.

Sasa hivi inatakiwa mdahalo wa wasiamini mungu (Atheists) dhidi ya waamini wakiwa hata kwa pamoja mfano wakina Mwalimu Jeff Massawe na Sheikh Mazinge na wengine nyuma yao.
 
Wakutane atheists na waislam, waislam watanywea kwa kukosa hoja. Atheists wakikutana na wakristo watanywea na kulegea. Atheists huwapinga wakristo kuliko waislam
 
Back
Top Bottom