Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews?

Operation Solomon, zoezi hili lilikuwa la kuwarudisha wayahudi Israel kutoka Ethiopia, kwa kifupi wapo Ethiopia na Ethiopia imo Africa.
Tujitahidi kutumia simu zetu za bei kali kapata taarifa za mambo tusiyoyajua badala ya kuchati na kujipiga picha.
Uislam na Ukristo upo Dodoma vijijini. Uyahudi upo Dodoma vijijini??..
 
Wayahudi wanasema wao hawawezi kumshawishi mtu mwingine kufuata dini na mafundisho yao mpaka yeye mwenyewe aelewe mafundisho hayo na aamue kwa hiari yake kuifuata,
Okay..
 
Jews wapo ugsnda,ethiopia,ertrea nk tatizo hausomi na kingine mtawanyiko wa hizi imani ni mpango wa mungu jiulize why ukristo ndio din kubwa duniani kuliko zote kazi kwako
 
Jews wapo ugsnda,ethiopia,ertrea nk tatizo hausomi na kingine mtawanyiko wa hizi imani ni mpango wa mungu jiulize why ukristo ndio din kubwa duniani kuliko zote kazi kwako
Ukristo ulienea kwa sababu ya colonization..
 
Swali ni Kwanini Mungu hakufanya dini na uwepo wake kuwa an innate knowledge hadi mtu afundishwe?

Kwanini dini zetu hatukuzipeleka huko hadi tuletewe?
 
Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews).

Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??..

~ SIPENDI SIASA ~
Ukristo ulikuwepo hata uyahudi baada ya kristo kupaa!
 
Kuna kitu umeandika hakileti mantiki
Umesema kuwa Wayahudi walikuwa wanafukuzwa kwa Utapeli na Kushikilia Uchumi wa Nchi husika

SWALI, Kama walikuwa Wanyonge waliwezaje kushikilia Uchumi wa nchi zingine?
 
Mara nyingi wao ndio wanavamiwaga na kutawaliwa na kufanywa watumwa ila mwisho wa siku lazima warudi...otherwise wapo busy na maisha yao na kiardhi chao kiduchuuu huku wakiendelea kujaribu practise torati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…