SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
- Thread starter
- #21
Uislam na Ukristo upo Dodoma vijijini. Uyahudi upo Dodoma vijijini??..Operation Solomon, zoezi hili lilikuwa la kuwarudisha wayahudi Israel kutoka Ethiopia, kwa kifupi wapo Ethiopia na Ethiopia imo Africa.
Tujitahidi kutumia simu zetu za bei kali kapata taarifa za mambo tusiyoyajua badala ya kuchati na kujipiga picha.