Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na kusema neno.

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata, Kimara(Gaza) na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.

TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata ...…? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!

Midoli ya jinsia ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi nabmingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata(, Kimara(Gaza), Na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.
TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata …? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

GWAJIMA: Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!
Waislamu hawana akili ...ccm ya samia inaua watu ila wao wanaona kuua raia ni sawa ila midoli ya kuuzia nguo ndiyo shida
 
Midoli ya jinsia ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na kusema neno.

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata, Kimara(Gaza) na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.

TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata ...…? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!
View attachment 3600010
NYEGE zitawaua.

Mpaka kwenye MIDOLI..

Ndio maana mnabaka mpaka VITOTO.
 
Waislamu hawana akili ...ccm ya samia inaua watu ila wao wanaona kuua raia ni sawa ila midoli ya kuuzia nguo ndiyo shida
Nafikiri hili jambo la kutudhalilisha si wasilamu pekee, ni wote, hivi baba upo na binti zako, mnakuta mwanamke yupo uchi amevalishwa kichuopi kipo kama kamba , watoto wanakuuliza ni kitu gani utajibu nini?
 
Nafikiri hili jambo la kutudhalilisha si wasilamu pekee, ni wote, hivi baba upo na binti zako, mnakuta mwanamke yupo uchi amevalishwa kichuopi kipo kama kamba , watoto wanakuuliza ni kitu gani utajibu nini?Hatuhusanishi na dini, kwani ukiandika duka la kufuli ama duka la nguo za ndani kuna asiyejua?
 
Watanganyika tumekuwa wapumbavu sana,eti juzi nimemsikia mbunge analalamika juu ya midoli kuvalishwa chupi,wewe naye umekuja na hoja hii, funny enough wewe naye ni msomi.

Mada za kijinga sana hizi,kama unapata muda wa kutafakari juu ya Midoli huuni uhayawani kabisa.

Tunashindwa kujadili mambo ya maana tunaanza kujadili midoli
 
Nafikiri hili jambo la kutudhalilisha si wasilamu pekee, ni wote, hivi baba upo na binti zako, mnakuta mwanamke yupo uchi amevalishwa kichuopi kipo kama kamba , watoto wanakuuliza ni kitu gani utajibu nini?
Waislamu awana akili haswa wale wanao amini katika uislamu..siyo Waislamu majina ...mwisho mtasema ngombe na kuku na mbwa wavishwe nguo kwa sababu wanatembea uchi ..Muslims ni 👉💩💩
 
Midoli ya jinsia ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na kusema neno.

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata, Kimara(Gaza) na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.

TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata ...…? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!
View attachment 3600010
These are pretty issues. 10,000 people dead ndiyo iwe isue yetu. Achana na mambo madogo hayo!
 
Waislamu awana akili haswa wale wanao amini katika uislamu..siyo Waislamu majina ...mwisho mtasema ngombe na kuku na mbwa wavishwe nguo kwa sababu wanatrmbea uchi ..Muslims ni 👉💩💩
Nadhani wamekusikia... Petty issues zinawagharimu sana muda wao.
 
Back
Top Bottom