Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

IMG_1712.jpeg
 
Midoli ina shepu muzuri kuliko hawa wanawake waliojaa mavitambi, naunga mkono hoja Midoli iwe inavalishwa madela tu kuna watu watakuja kubaka midoli ohoo!!
 
Midoli ya jinsia ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na kusema neno.

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata, Kimara(Gaza) na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.

TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata ...…? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!
View attachment 3600010
Mheshimiwa secretarybird na Mbaga Jr hili mnalionaje au mnalichukuliaje?

Ni changamoto kwelikweli
 
Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga!

Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na kusema neno.

Maduka hayo mengi utakuta yanamilikiwa nanwanawake kuanzia kinondoni, mwananyamala, Sinza , Mwenge , Tabata, Kimara(Gaza) na Kariakoo.

Midoli ya kiume, haiwekewi uume , yani ipo flat ila ya kike kila kiungo kipo wazi.

Watoto wadogo wameshazoea nankuona uchi ni kitu cha kawaida na ndio sababu ya kuporomoja maadili.

TUTAFAKURI: Hivi Kondom inapouzwa, unakuta imevalishwa kwenye kiungo ama inatangazwa ? Si unaenda mwemyewe tena unavizia hakuna mtu ndio unanunua? Kuna mwemye kutaka kondom asijui pa kuioata ...…? Kama ndiyo kwanini CHUPI na Bikini Mpaka zivalishwe midoli ndio tujue zilipo?

Tunakuomba sana, midoli iwekewe standard na TBS, chupi ziuzwe ndani na hakuna display nje, chupi iuzwe kama P2 au Kondom, mbona hazotangazwi na watu wananunua!

View attachment 3600010
Kwa hiyo uliitamani mkuu?
 
Watanganyika tumekuwa wapumbavu sana,eti juzi nimemsikia mbunge analalamika juu ya midoli kuvalishwa chupi,wewe naye umekuja na hoja hii, funny enough wewe naye ni msomi.

Mada za kijinga sana hizi,kama unapata muda wa kutafakari juu ya Midoli huuni uhayawani kabisa.

Tunashindwa kujadili mambo ya maana tunaanza kujadili midoli
Kweli kabisa mkuu.. Wanaacha kushauri vyanzo vipya vya mapato wanaongelea midoli
 
Back
Top Bottom