Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

Midoli ina shepu muzuri kuliko hawa wanawake waliojaa mavitambi, naunga mkono hoja Midoli iwe inavalishwa madela tu kuna watu watakuja kubaka midoli ohoo!!
 
Mheshimiwa secretarybird na Mbaga Jr hili mnalionaje au mnalichukuliaje?

Ni changamoto kwelikweli
 
Kwa hiyo uliitamani mkuu?
 
Kweli kabisa mkuu.. Wanaacha kushauri vyanzo vipya vya mapato wanaongelea midoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…