[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Macho y zongo ndio zile ishu za kijicho hakuna tofauti kabisa na mdomo mbaya kuna jicho baya pia na mguu mbaya....Wengine wanamaono sijui akikwambia jambo usifanye au mahala usiende ukaenda unalo..Mshana tutengenezee na ya macho mabaya yanatokana na nini kuna idd-alhaji moja sijala nina dukuduka mpaka leo.
Doh! dunia inamengi hii.Macho y zongo ndio zile ishu za kijicho hakuna tofauti kabisa na mdomo mbaya kuna jicho baya pia na mguu mbaya....
Ametokea kwa sababu ili unabii utimie maana tuliomba Mkali na Mungu katupa sema hulka ya binadamu kusahau,Kuna uvutano mkubwa mkubwa wa kiroho pale... Na kuna mambo hupaswa kutokea ili unabii UTIMIE
Haiko mbali sana japo mdomo mbaya ni kitu tofauti kidogo... Mtu from no where anakuambia ukienda leo hufanikiwi na Kweli inakuwa hivyo... Laana ni kitu cha permanentKwa kuongezea tu , lakini pia Imeandikwa laana isiyo na sababu haiwezi kumpata Mtu !
Au hii ni hoja tofauti na mada iliyopo @ Mshana Jr?
True kinywa kichafu ni roho chafu,sababu ya sumu aliyojaa nayo mtu, mwilini.Wengi wanasumu,wamejaa sumu,ndio maana wengi unena machafu.mdomo utaendelea kuwa mchafu hadi moyo utakaposafishwa.
mdomo ni mfereji tu, wa kupitishia nia na uwekezaji uliofanyika moyoni au akilimi kwa muda mrefu.
Kuna jamaa yetu akikisifia kitu chako basi lazima aidha kiharibike, kipotee au kidhurike kwa namna yoyote ile.Na kati ya hao kuna watu wakikuomba kitu ukawanyima, kama kisipopotea basi kitaharibika...
True mdomo mchafu ukausha NURU,Wengi wenye sumu mwilini huwa na roho mbaya,kwa sababu ya roho mbaya, kila wafanyalo ubuma maana lafanya kwa hila, halina BARAKA,wengi pia hawastawi kiuchumi.Mdomo ni lango kuna chanzo
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ndio aina ya midomo ninayozungumzia sasaKuna jamaa yetu akikisifia kitu chako basi lazima aidha kiharibike, kipotee au kidhurike kwa namna yoyote ile.
Kuna siku alisifia gari mpya ya ndugu yake baada ya siku 2 gari ilipata ajali ikaharibika haifai,
Mdogo wake wa kike alinunua gauni mpya alivyomfia siku hiohio liliungua wkt anapika jikoni.
Alimsifia mbwa wng siku hiohio akaanza kuugua baada ya siku 3 mbwa wng akafa.
Midomo mibaya kiroho inatema sumu na matamshi yake ni moto unaounguzaTrue mdomo mchafu ukausha NURU,Wengi wenye sumu mwilini huwa na roho mbaya,kwa sababu ya roho mbaya, kila wafanyalo ubuma maana lafanya kwa hila, halina BARAKA,wengi pia hawastawi kiuchumi.