Midomo mibaya

Midomo mibaya

Mimi nina mdomo wa maono, nikiona mtu anafanya jambo ambalo litamletea madhra huwa namuonya aache mara moja maana anapoelekea sipo,
Atanipuuza kwa kuniona mimi ni mdogo kwake, hazitapita siku tatu jamaa anapata matatizo
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Ujumbe mzuri sana huu!

Imeandikwa;
Alindae kinywa chake amejilinda nafsi yake na mabaya!

Hata mpumbavu anyamazapo kimya huhesabiwa hekima
 
Mimi nina mdomo wa maono, nikiona mtu anafanya jambo ambalo litamletea madhra huwa namuonya aache mara moja maana anapoelekea sipo,
Atanipuuza kwa kuniona mimi ni mdogo kwake, hazitapita siku tatu jamaa anapata matatizo

Tatizo ni pale maono yanapokuwa hasi tu,
Yani kuona watu wakipata matatizo tu lakini mambo ya kheri huonagi!

Kama ikiwa hivyo basi jua utakuwa na tatizo , au huenda unatumika vibaya bila wewe mwenyewe kujua!

Kwanini usione mambo mema ukaona harusi, kupona, kupanda cheo, kufaulu mtihani n.k

Badala yake unaona mabaya tu?
 
Unaweza kutoa onyo kwa jambo jema?
 
Unaweza kutoa onyo kwa jambo jema?

Sasa geuza hayo maonyo kutoka uhasi kuwa uchanya!

Muombe Mungu akufunulie ujue yakupasayo kufanya!

Lakini kwa kifupi hiyo hali ya maonyo siyo sawa kiroho!

Inafanya kazi zaidi upande wa adui!

Jifunze kuigeuza iwe kinyume chake!
 
Sasa mkuu

Unatembea na mwanafunzi nakwambia kabisa unaitafuta miaka 30 jera na wewe mwenyewe sheria hiyo unaijua
Hapo kosa langu ni lipi?
 
Unaonaje kama utamwambia hivi;

Fulani nakuona ukianza kuichukia na kuiacha kabisa tabia ya kujamiana na wanafunzi,
Na hiyo itakusaidia kuepukana na jera!

Ukimtakia hivyo utakuwa umemsaidia na kumjenga katika uchanya!

Unaonaje hapo?!
 
Upo sahihi

Binafsi huwa napendelea kuwasilisha jambo kama lilivyo bila kupunguza ukali wa maneno
 
Sasa kwa kuwa umejitambua kuwa uko kama nabii fulani wa watu, basi jaribu kuwasaidia kwa kusema katika uchanya huku ukitanguliza pendo la Mungu na huruma!

Kama ulimi wako uko na athari kiasi cha jambo kutokea basi ukitamka kwa uchanya pia itatokea na utakuwa umemsaidia mtu na kumbariki kuliko hasi ambako hupelekea maangamivu na laana !

Yani wewe ukijifunza jinsi ya kuutumia ulimi wako utakuwa nabii mzuri sana ktk kuokoa na kubariki watu !

Watamkie watu mema ili yatimie kwenye maisha yao na siyo mabaya!
 
🙏🙏
 
Kuna jamaa yetu akikisifia kitu chako basi lazima aidha kiharibike, kipotee au kidhurike kwa namna yoyote ile.
Kuna siku alisifia gari mpya ya ndugu yake baada ya siku 2 gari ilipata ajali ikaharibika haifai,
Mdogo wake wa kike alinunua gauni mpya alivyomfia siku hiohio liliungua wkt anapika jikoni.
Alimsifia mbwa wng siku hiohio akaanza kuugua baada ya siku 3 mbwa wng akafa.
Hiyo inaitwa kijcho huyo mtu ana kijicho, yani anasifia jambo kwa roho nzuri kabisa ila kwa kuwa ana hilo tatizo hutokea matokeo yenye madhara yule aliyesifiwa au kile alichokisifia. Kijicho kibaya sana na unakuta mwenye hicho kijicho hajijui hivyo anaumiza watu pasina kujua.
 
giphy.gif
 
Chunga sana kauli kwakuwa mkono hauwezi kukufikia mbali lakini kauli husafiri na kubeba Roho ya maangamizi....
 
Back
Top Bottom