Kwamba ?Malaika wa kifo
Namtimuaje sasa, maana mpaka najishtukia, sa hv naishia kutoa pole tu kupitia simu, lakini kwenda kumtembelea nyumbani kwake au Hospital siwezi sababu wote nilioenda kuwaona walifarikiAkimuona mgonjwa lazima amuwahishe
Mmh.. Hii kwangu ni kubwa kuliko ufahamu wanguNamtimuaje sasa, maana mpaka najishtukia, sa hv naishia kutoa pole tu kupitia simu, lakini kwenda kumtembelea nyumbani kwake au Hospital siwezi sababu wote nilioenda kuwaona walifariki
Sio hilo tu, nina ile hali nikimfikiria mtu, lazima atanitafuta au atakuja nilipo, pia nikiwaza jambo litatokea kweli ila naweza kulizuia kama ni baya kwa kujisemea kimoyo moyo, "HAKUNA KITU KAMA HICHO". Hii nawaza hata kuitumia upande mwingine huu wa kuona wagonjwa ila bado siamini kama itafanya kazi, hivyo nashindwa kujaribuMmh.. Hii kwangu ni kubwa kuliko ufahamu wangu
Bado tu?Mbona jaman watu wana msema JPM hakuna linalotokea
Au wanao msema wote hawana midomo mibaya?
Sio hilo tu, nina ile hali nikimfikiria mtu, lazima atanitafuta au atakuja nilipo, pia nikiwaza jambo litatokea kweli ila naweza kulizuia kama ni baya kwa kujisemea kimoyo moyo, "HAKUNA KITU KAMA HICHO". Hii nawaza hata kuitumia upande mwingine huu wa kuona wagonjwa ila bado siamini kama itafanya kazi, hivyo nashindwa kujaribu
Ninachoshukuru Mungu ni kwamba naitumia kwenye harakati zangu za utafutaji na inafanya kazi, maana mimi ni mtu ninayejituma sana (mpambanaji)
Shukrani mkuu, ila najivunia kujitambua mimi ni nani, na ninajua kutumia nguvu nilizonazoMakutano ya kiroho
Si kwa muktadha wa kimapenzi ama hisia za kufikirika, zile tamanifu zenye kuleta mvuto wa hisia za mahusiano ya kingono... Zile za kusema you stole my heart - umeiba moyo wangu....! Haya ni makutano ya kiroho uwapo nje ya ufahamu wako, uwapo usingizini Kipindi hiki roho husafiri huko na kule...www.jamiiforums.com
Mimi nikimtembelea/nikienda kumwona mgonjwa Hospital huwa anafariki, hii imesababisha niache kutembelea/kwenda kuona wagonjwa Hospital hata kama yupo home, sitii mguu
Mkuu kulikoni!!?