Mie mgeni nianzie kona gani hapa JF? I am not married & searching!

Mie mgeni nianzie kona gani hapa JF? I am not married & searching!

Marashi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
2,877
Reaction score
4,522
Mimi ni mgeni. Hodi!

Najitambulisha kwenu waungana nipokeeni. Nimejiunga kwa malengo mengi tu, ikiwa ni pamoja na kukutana na watu serious ili kama Mungu atatupa kibali basi nipate mke humu.

Nafurahi kujiunga nanyi naomba maelekezo ya start-up kama kuna utaratibu wowote na ethical issues pia nijulishwe.

Mawasiliano: ssekenke@gmail.com
 
Ah we pita pita kona zote....utakapopapenda weka kambi....

Umeolewa hujaolewa hyo sio biashara yetu....afu badirisha avatar yako.....hawaruhusu zaina hyo humu.....utapigwa Ban
 
Dear Jf members ogopeni sana ID mpya
Watu wako kazini
Hahah, nimecheka sana. Ni kwel mkuu. Tusiaminiane sana humu. Hata mm naogopa JF manguli wengi wa ushushushu na watu wasiojulikana walishatangulia JF ninauhakika.

Tuaminiane kwenye story tu, kila mtu akale kwao!
 
Ah we pita pita kona zote....utakapopapenda weka kambi....

Umeolewa hujaolewa hyo sio biashara yetu....afu badirisha avatar yako.....hawaruhusu zaina hyo humu.....utapigwa Ban
Ban ni kupigwaje mkuu? Hyo profile avatar kwan inashida gan? Huyo ni role model wangu

Au niambie naruhusiwa kuweka ya nani?
 
Mimi ni mgeni. Hodi!

Najitambulisha kwenu waungana nipokeeni. Nimejiunga kwa malengo mengi tu, ikiwa ni pamoja na kukutana na watu serious ili kama Mungu atatupa kibali basi nipate mke humu.

Nafurahi kujiunga nanyi naomba maelekezo ya start-up kama kuna utaratibu wowote na ethical issues pia nijulishwe.

Mawasiliano: ssekenke@gmail.com
Karibu sana kila reply ichukulie kama tofali kwenye ujenzi wa ukuta wako (sio kama ule wa mirerani lakini) ukuta wa kifikra
 
Karibu sana kila reply ichukulie kama tofali kwenye ujenzi wa ukuta wako (sio kama ule wa mirerani lakini) ukuta wa kifikra
Ninazo habar zako Mshana na Mti Mkavu. Nawasubiri mnipe hayo matofali!!
 
Karibu sana, huku ni sawa na Gambosh ukileta za kuleta unabutuliwa na yeyote yule....

Ukiwa msoma ramani kabla ya kuanza safari yako basi hutogombana na mtu humu.

Kila la kheri na safari njema.

Mie na juli kana kama bibi kizee kigagula ambaye ni mbishi wa kuzeeka maana nakula bata na.mahaba kwangu siwezi kuwa acha japo nimezeeka. Nakesha nakula ujana kama popo woooow woooh.

Kasinde.
 
Back
Top Bottom