Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mimi ni mgeni. Hodi!
Najitambulisha kwenu waungana nipokeeni. Nimejiunga kwa malengo mengi tu, ikiwa ni pamoja na kukutana na watu serious ili kama Mungu atatupa kibali basi nipate mke humu.
Nafurahi kujiunga nanyi naomba maelekezo ya start-up kama kuna utaratibu wowote na ethical issues pia nijulishwe.
Mawasiliano: ssekenke@gmail.com
Leo unaleta story Za kuacha mke na mtoto wa miaka 7!! Pathetic fool
Sent using Jamii Forums mobile app