Yenye avator matataDear Jf members ogopeni sana ID mpya
Watu wako kazini
Hahah, nimecheka sana. Ni kwel mkuu. Tusiaminiane sana humu. Hata mm naogopa JF manguli wengi wa ushushushu na watu wasiojulikana walishatangulia JF ninauhakika.Dear Jf members ogopeni sana ID mpya
Watu wako kazini
Ban ni kupigwaje mkuu? Hyo profile avatar kwan inashida gan? Huyo ni role model wanguAh we pita pita kona zote....utakapopapenda weka kambi....
Umeolewa hujaolewa hyo sio biashara yetu....afu badirisha avatar yako.....hawaruhusu zaina hyo humu.....utapigwa Ban
Too philosophicalHuwa sipendi mtu anakuja na kigari chake kibovu kutengenezewa halafu anaanza kuchezea spanner zangu kwa kweli
Nimefananisha tu jf na Garage yangu kwa kweli oops
Karibu sana kila reply ichukulie kama tofali kwenye ujenzi wa ukuta wako (sio kama ule wa mirerani lakini) ukuta wa kifikraMimi ni mgeni. Hodi!
Najitambulisha kwenu waungana nipokeeni. Nimejiunga kwa malengo mengi tu, ikiwa ni pamoja na kukutana na watu serious ili kama Mungu atatupa kibali basi nipate mke humu.
Nafurahi kujiunga nanyi naomba maelekezo ya start-up kama kuna utaratibu wowote na ethical issues pia nijulishwe.
Mawasiliano: ssekenke@gmail.com
Karibu sanaNinazo habar zako Mshana na Mti Mkavu. Nawasubiri mnipe hayo matofali!!
role model wako???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duuhh ko na ww upo hvo hvo yn???Ban ni kupigwaje mkuu? Hyo profile avatar kwan inashida gan? Huyo ni role model wangu
Au niambie naruhusiwa kuweka ya nani?
It's very honest and very true hahaToo philosophical