Mie mgeni nianzie kona gani hapa JF? I am not married & searching!

Duh...huu ni mkwara ni mzito [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu sana kila reply ichukulie kama tofali kwenye ujenzi wa ukuta wako (sio kama ule wa mirerani lakini) ukuta wa kifikra
Hilo la kuhusu dem nipe ramani napataje humu? Naona watu wapo kmya
 
Mie nakushauri tu ungerudi ulikotoka maana ulivyokuja speed umetanguliza miguu badala ya kichwa utafikiri umeambiwa wanagawa ukuu wa Wilaya!
Umeingia choo cha walevi rudi tu huko FB
 
Mie nakushauri tu ungerudi ulikotoka maana ulivyokuja speed umetanguliza miguu badala ya kichwa utafikiri umeambiwa wanagawa ukuu wa Wilaya!
Umeingia choo cha walevi rudi tu huko FB
Mkuu nashukuru kwa ukaribisho wako pia
 
Kar
karibu
 
Avatar yako inafanana na ya msela wa manzese mna undugu
 
Ah we pita pita kona zote....utakapopapenda weka kambi....

Umeolewa hujaolewa hyo sio biashara yetu....afu badirisha avatar yako.....hawaruhusu zaina hyo humu.....utapigwa Ban
Mkuu avatar gani zinatakiwa na zipi hazitakiwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…