Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #61
Sasa aki negotiate contract kosa,akisubiri majaaliwa anapigwa chini kwa madai kuwa amewahiwa! Men!!
hapo ndipo nawaza, tumekutana PIN Point ama bilcanas
tukanywa vinywaji na kucheza pia na mauno tukapeana
Sasa walalama nini wakati hatukupeana tafsiri ya kesho?
By LD
Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.
LD hata mie kaniboa sana. . .
Pole mwaya!!
By LD
Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.
I can understand you, yaani kumplease mama's boy kama Ruta you have to be a devil himself! Yeye siku zote ni victim, makosa yote ni ya wanawake.
Kaunga hayo sasa ni ya kwako......too speculative....that is what I see......
Inashangaza kweli. . .
Eti alomtumia mwenzake anafagiliwa na huruma anaonewa ,dada wa watu ndio anaonekana mbaya. Kesho kutwa utasikia anaanzishiwa thread nyingine ya "anantumia mtoto"akitaka matumizi makubwa. Kisa, yeye ndo kageuka mtumiaji na hiyo HAIKUBALIKI kwa Ruta. . .yeye tu ndo anaeruhusiwa kutumia wenzie na akimaliza alalamike yeye. Some men. . . hasara tupu.
Ndahani I can only hope it comes deep from your heart........because I feel you are very insecure to defend yourself with such intensity
Never worry Ruta...insecurity is also a state of mind rather than the position or a situation. But all in all, hii mda hakikisha bi mkubwa hajaiona. Italeta balaa kama mesenja aliyekosea wapi pa kupeleka maagizo
Ruta ulizungumzia Utii, mwanamke akiwa na utii mwanamume atampenda. Na wewe umekiri kuwa binti alikuwa mnyenyekevu, na zaidi alikupa vitu vizuri; assumption yangu na wengine according to ur vigezo ungenpenda!
Lkn kaja mwingine, kakutongoza (si ndio kumwaga sera) na tayari kazungumzia 'kesho' nawe umeridhia!
At least mimi wanichanganya, labda uniambie nisiwe natake thread zako serious. I and l will stop to 'sound like ur mom'!
Mauno ndo nini jamani?
Hayo matatizo ya waume wa sasa. Lol, sasa Rutashubanyuma ulitegemea akwambie nataka unioe? Lol
Raha ya penzi kunoga, shurti aanzishe kidume,
Vipi itawezekana, mwanamke ayaseme?
Eti, hapa tulipofikia, nakuomba uwe Mume
Lol, Mara utasikia, huyu demu dume dume
Hawa ndo wanaume wa sasa bwana
Ukimwambia nakupenda, atadai unamwibia
'Tasema una lako jambo, mauno ukimkatia
Mauno ukizidisha, 'takuita changudoa
Lol, Mara utasikia, huy demu dume dume
Tufanyeje sasa
Mabinti tumeumbiwa, Vidume kusubiria
Hatutaki kukimbilia, Kutii kwetu sawia
Sasa mnatulaumu, Eti hatukuwambia
Lol, Laiti tungesema, mngetwita dume dume