Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #81
Napita tuu hapa japo Rutashubanyuma wewe ni balaa
bishanga hizo ndizi haziwivi tu?Aisee!
Hahahahahaha..hii inaitwa kung'ata na kupuliza!lol Rutashubanyuma....wewe kesho uliiweka kapuni kwa makusudi bana acha kumuonea mwenzio,
Yeye alitaraji wewe mwanaume ungesema kesho yenu kumbe mshkaji ulikua unapita, duh!
aya bwana...ujus reminded me of me!!!!! very fuuny...
Ikumbukwe ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili
sasa kama hatujakaa siku tukakubaliana malalamiko ya nini.
nitamwoa nitakayekubaliana nae na kama wewe hatujakubaliana kitu chochote ya nini ulalame?
kama kila tukikutana wakata mauno na kuondoka zako , wenzako wakata mauno na kudai mwafaka wa kesho
Hizi medhali na Nahau kwenye hili shairi naona vinanizingua! Ngoja nimtafute Mzee mzima Mudhihiri wa Mudhihiri aweze kunifafanulia lugha hii nadhimu ya kiswahili! Lkn Big Up kwa huu msemo - Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
Hapa ndio panaponichoshaga msasha Kaizer, ukiuliza kosa, ukinyamaza kosa. Khaaa I Love me and I myself
hahahahaa mauno ndo ugonjwa mbona sheshe
Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.
Mr Rocky..........................balaa latoka wapi wakati mie nashauri tu jamii iwe angalifu na iache kuzubaa zubaa hivi..............haya mautenzi hayanihusu hata chembe binafsi ila ni matatizo ya jamii niyaonavyo..........
Ruta wewe ni hadaa, uliona wapi mwanamke anakukatikia mauno without expecting anything....be it pesa or love.
Na wewe hukuwa convinced beyond mauno au ulimuona changu fulani tu?
Mkuu Rutashubanyuma afadhali unayaona na unasema wengine wanayaona na wanakaa kimya
Wanayaona kama sio ya kwao so wanayaacha bila kuyatolea suluhisho lolote
umenielewa, so unampa nafas nyngne au ndo taratiiibu unateleza kama samaki??? Hayo mauno huyatak tena? Kama vp nipigie pande
Mr Rocky.......................mie natoa elimu ya bwerere hata kam aninashambuliwa kwa kuwa mkweli......................badala ya kushukuriwa baadhi ya wadaa wananituhumu kuwa mie ni tapeli, hivi utapeli wa mjumbe ulianzia wapi?
I think hadaa iko kwenye mapokeo yako ya mauno, mwenzio akahadaika kuzidisha maufundi..........kumbe..........lol.lemonade hadaa iko wapi? hakuna ahadi zilizotolewa na kuvunjwa..................penzi aliombwa akakubali bila ya shuruti na baadaye tulipeana mengi bila kasheshe lolote sasa tumefikia tamati baada ya mjuaji kupenyeza khoja zake nami kuzikubali.....................
yeye mwanzilishi alikuwa bubu kwenye hilo sasa mie nimekosa nini khapo?