Mieleka imehamia kwenye makanisa

Mieleka imehamia kwenye makanisa

Hata uchi unaweza kuingia...Zile nguo nyeusi kweny msiba kanisani sio "kaniki" au hujui?
Kaniki ni vazi jeusi shuka la kiganga uvaliwa kwa mtindo wa lubega.

Kaniki jeusi ni utambulisho kwamba mganga huyu utibu kwa nguvu za mizimu au mganga baridi mganga wa miti.

Kaniki jekundu huyu utumia nguvu za majini, mganga moto hata uua.
 
Liko wapi hilo kanisa niwe naenda na popcorn kuangalia mieleka ya bure🤣🤣🤣
 
Huyo jamaa anayerushwa rushwa naye kiazi labda kama analipwa
 
Huu wazimu watakuja kuua apewe miser case [emoji35]
 
Back
Top Bottom