The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kama hiyo ndio ibada inabidi waumini wawe wanalipa kiingilio ili kuona show,
Pia aongeze ubunifu kwa kuweka Refa wa hilo pambano.
Pia aongeze ubunifu kwa kuweka Refa wa hilo pambano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaniki ni vazi jeusi shuka la kiganga uvaliwa kwa mtindo wa lubega.Hata uchi unaweza kuingia...Zile nguo nyeusi kweny msiba kanisani sio "kaniki" au hujui?
Sasa we ndo mganga unayajua yote.Kaniki ni vazi jeusi shuka la kiganga uvaliwa kwa mtindo wa lubega...
Lazma umlipeHuyo jamaa anayerushwa rushwa naye kiazi labda kama analipwa
Wahuni sio watuKila mchungaji naona ana ubunifu wake kwenye kutoa burudani tofauti kwenye kanisa lake.View attachment 2439251
Paulo kafanyeje..mbona wavaakobazi..mnamuandama sana huyo mtume.[emoji23][emoji23][emoji23] Vijana wa paulo.
😂😂😂😂mielekaPaulo kafanyeje..mbona wavaakobazi..mnamuandama sana huyo mtume.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mchungaji naona ana ubunifu wake kwenye kutoa burudani tofauti kwenye kanisa lake.View attachment 2439251
Hii kali, haya munaosaka mafanikio kazi kwenu...Kila mchungaji naona ana ubunifu wake kwenye kutoa burudani tofauti kwenye kanisa lake.View attachment 2439251