Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,346
- 1,221
Wana Jf natumai mpo wazima wa afya ,nami nipo good kiafya na Mungu ni mwema siku zote.
Kuna hii michezo ya mieleka, huwa naiangalia lakini mimi sijawahi kukubali kuwa huo huwa ni ukweli.
Kwa mimi huwa naona kama ni kitu ambacho wanaigiza, na ambacho kinaniaminisha kuwa niwaigizaji,
Nipale mtu anauwezo wa kupigwa hadi akatakata kabisa na kuishiwa pozi, chakushangaza atainuka tena na kumpiga mwenzie hadi nae anapoteza system zote
Na kingine ambacho huwa siamini kama nikweli ni ile hali ya kupigwa na vitu vizito lakini jamaa limo tu, linapigizwa kwenye ukuta limo tu,
Mpaka muda huu naandika haya naamini michezo ya mieleka ni uongooooooo [emoji123][emoji125][emoji125][emoji125]