Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?
Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.
Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?
Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?
Mungu Ibariki Tanzania.