Mienendo ya siasa za CHADEMA inasikitisha na kuchekesha Jamii

Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?

Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.

Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?

Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?

Mungu Ibariki Tanzania.
Hapo hakuna chama cha siasa ni utapeli na uharakati uchwara.Wanasema maridhiano, kukaa meza moja kuzungumza ni kulamba asali.Ukiwa na msimamo wa namna hiyo makali yatakukata tu
 
Chadema inaangamizwa na uropokaji wa kilofa wa viongozi wenu waandamizi kitaifa 🐒
Ikiangamia wewe na kizazi chako,mtaishia kuwaumiana kwa matatizo mtakayo kuwa nayo.Kisababishi ikiwa wewe na genge lako la wahuni wa chama walichojipa haki kuwa chama pekee tanzania kwa kufuta vingine. NO REFORM NO ELECTION
 
Hapo hakuna chama cha siasa ni utapeli na uharakati uchwara.Wanasema maridhiano, kukaa meza moja kuzungumza ni kulamba asali.Ukiwa na msimamo wa namna hiyo makali yatakukata tu
hawataki kufuata katiba yao wenyewe, hawataki kufuata sheria za nchi, hawataki Demokrasia, hawataki Uchaguzi n.k

sasa unabaki tu unajiuliza kweli Chadema ni chama cha siasa au ni genge la waropkaji tu?
Uanaharakati uchwara ni matatizo matupu aise 🐒
 
Ikiangamia wewe na kizazi chako,mtaishia kuwaumiana kwa matatizo mtakayo kuwa nayo.Kisababishi ikiwa wewe na genge lako la wahuni wa chama walichojipa haki kuwa chama pekee tanzania kwa kufuta vingine. NO REFORM NO ELECTION
ramli kama hizo ni useless na completely nonsense katika siasa gentleman 🐒
 
Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?

Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.

Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?

Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?

Mungu Ibariki Tanzania.
Wazanzibar na Raia feki mna muda mfupi tu wa kujitukuza baada ya huo muda mtalia na kusaga meno.
 
hawataki kufuata katiba yao wenyewe, hawataki kufuata sheria za nchi, hawataki Demokrasia, hawataki Uchaguzi n.k

sasa unabaki tu unajiuliza kweli Chadema ni chama cha siasa au ni genge la waropkaji tu?
Uanaharakati uchwara ni matatizo matupu aise 🐒
Kufuata sheria ni kwa wenzao tu,wao hata wasipofuata sheria ni sahihi kwao.Hawajui sheria ni msumeno.Jaji anasema suala la sheria halibishaniwi
 
Wazanzibar na Raia feki mna muda mfupi tu wa kujitukuza baada ya huo muda mtalia na kusaga meno.
ramli na imani potofu za ushirikina ni mzigo mzito wa kimaskini sana kifikra gentleman,
dah! Pole 🐒
 
Attachments

  • IMG_20230125_142540.jpg
    IMG_20230125_142540.jpg
    59.2 KB · Views: 9
Mwanaume kutumia viemoji ni dhalili ya ushoga
kuna huyu hapa kaoa nae kaolewa huko ng'ambo, unazungumziaje hali hiyo gentleman?🐒
 
Attachments

  • IMG_20230125_142540.jpg
    IMG_20230125_142540.jpg
    59.2 KB · Views: 12
Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?

Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.

Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?

Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?

Mungu Ibariki Tanzania.
Hapana. Kinachochekesha ni ku.....n...d..u lako limeoza vibaya. Wamekuharibu nyuma kweli
 
Back
Top Bottom