Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Hapo hakuna chama cha siasa ni utapeli na uharakati uchwara.Wanasema maridhiano, kukaa meza moja kuzungumza ni kulamba asali.Ukiwa na msimamo wa namna hiyo makali yatakukata tuHivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?
Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.
Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?
Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?
Mungu Ibariki Tanzania.
Ikiangamia wewe na kizazi chako,mtaishia kuwaumiana kwa matatizo mtakayo kuwa nayo.Kisababishi ikiwa wewe na genge lako la wahuni wa chama walichojipa haki kuwa chama pekee tanzania kwa kufuta vingine. NO REFORM NO ELECTIONChadema inaangamizwa na uropokaji wa kilofa wa viongozi wenu waandamizi kitaifa π
hawataki kufuata katiba yao wenyewe, hawataki kufuata sheria za nchi, hawataki Demokrasia, hawataki Uchaguzi n.kHapo hakuna chama cha siasa ni utapeli na uharakati uchwara.Wanasema maridhiano, kukaa meza moja kuzungumza ni kulamba asali.Ukiwa na msimamo wa namna hiyo makali yatakukata tu
Kwani hilo ni tusi ganiKwani hauna tusi jingine tofauti na hili umpe?
ramli kama hizo ni useless na completely nonsense katika siasa gentleman πIkiangamia wewe na kizazi chako,mtaishia kuwaumiana kwa matatizo mtakayo kuwa nayo.Kisababishi ikiwa wewe na genge lako la wahuni wa chama walichojipa haki kuwa chama pekee tanzania kwa kufuta vingine. NO REFORM NO ELECTION
Wazanzibar na Raia feki mna muda mfupi tu wa kujitukuza baada ya huo muda mtalia na kusaga meno.Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?
Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo linasababisha kufanya makosa mengi zaidi ya kisheria, na ikitiwa hatia, haikiri kukosea bali inajirekebisha makosa yake ya kisheria na kiutaratibu kisirisiri wakati huo inaugulia maumivu makali ya hatua hizo za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake, kama vile kusitishiwa ruzuku na kupigwa marufuku na mahakama isifanye shughuli zozote za kiutendaji hadi shauri la maslahi ya zaidi ndani ya Chadema liskizwe.
Unadhani viongozi hao waandamizi wa Chadema kitaifa watajisahau na kufanya mistakes hizi ndogo ndogo za kisiasa na kisheria mpaka lini?
Na je,
tutashuhudia athari za uropokaji na ukurupukaji wa viongozi waandamizi wa Chadema taifa mpaka lini?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kufuata sheria ni kwa wenzao tu,wao hata wasipofuata sheria ni sahihi kwao.Hawajui sheria ni msumeno.Jaji anasema suala la sheria halibishaniwihawataki kufuata katiba yao wenyewe, hawataki kufuata sheria za nchi, hawataki Demokrasia, hawataki Uchaguzi n.k
sasa unabaki tu unajiuliza kweli Chadema ni chama cha siasa au ni genge la waropkaji tu?
Uanaharakati uchwara ni matatizo matupu aise π
No reform no election.Wape salamu chama chakavu na Chawa wake.No reform no electionramli kama hizo ni useless na completely nonsense katika siasa gentleman π
Mercenary mliowaandaa kwa maelfuhuyo ni muhadzabe wa nchi gani gentleman, au ni huyu hapa ππ
Mwanaume kutumia viemoji ni dhalili ya ushogausiwaropokee wadau wa JF nonsense gentleman ikiwa umeishiwa hoja π
πMercenary mliowaandaa kwa maelfuView attachment 3364230
Hapana. Kinachochekesha ni ku.....n...d..u lako limeoza vibaya. Wamekuharibu nyuma kweliHivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini?