Mienendo ya siasa za CHADEMA inasikitisha na kuchekesha Jamii

No Reforms, No Elections. Bado hujaelewa tu?
 
Chadema itasurvive kwa kuwa mwanchi yoyote mnyonge nchi hii lazima aisupport chadema. Wahuni wachache wanaiogopa.
 
ramli na imani potofu za ushirikina ni mzigo mzito wa kimaskini sana kifikra gentleman,
dah! Pole πŸ’
Wewe ni kipofu tulia utakuja kunikumbuka..hayo maneno yangu ni ya kweli kwa asilimia 100%
 
Wewe ni mwanaupinde
kiongozi wa no reform no elections si ni mtu wa jamii hiyo na ndio mtetezi wa hiyo ufirauni gentleman,

au ndio unampiga kiongozi wako kiaina kama unavyoipinga no reform no elections na kugoma kuchangia tone tone kwenye kibakuli πŸ’
 
Wewe ni kipofu tulia utakuja kunikumbuka..hayo maneno yangu ni ya kweli kwa asilimia 100%
huna haja ya kuwanyanyapaa jamii ya wasio ona gentleman, hujafa hujaumbika,

ukilemewa na hoja huna haja kutumia jamii zenye mapungufu au mahitaji maalumu kuficha ulofa wako katika masula haya ya siasa nchini πŸ’
 
Chadema itasurvive kwa kuwa mwanchi yoyote mnyonge nchi hii lazima aisupport chadema. Wahuni wachache wanaiogopa.
kujipa matumaini hewa saa zingine ni kama ushirikina tu gentleman πŸ’
 
Kufuata sheria ni kwa wenzao tu,wao hata wasipofuata sheria ni sahihi kwao.Hawajui sheria ni msumeno.Jaji anasema suala la sheria halibishaniwi
katiba ya Chadema ikikiukwa wanachadema wenyewe wanaishitaki Chadema mahakamani.

unadhani hiyo inasababishwa na nini kama sio ulofa wa viongozi wakuu πŸ’
 
Hapana. Kinachochekesha ni ku.....n...d..u lako limeoza vibaya. Wamekuharibu nyuma kweli
ikiwa huna hoja una relax tu gentleman hakuna haja kuexpose umaskini wako wa kifikra kwa wadau wa JF πŸ’
 
Siku zote watu wabishi ujifunza kwa maumivu na hasara kubwa ...hata tulipo onya kuhusu wanawake na uongozi watu wabishi waliponga na kuponda wakidao wanawake wanaweza ...leo wanajifunza kwa uchungu na maumivu ..na ninapo sema waislamu awafai kuwa viongozi watu wanabisha ila watajifunza kwa uchungu na maumivu .....hawa viongozi wapumbavu tunaowapata ni somo kubwa sana na kwa somo ilo nawaambia wazanzibar na raia feki kuwa somo litafanya wao waishi kama digidigi muda so mrefu.
huna haja ya kuwanyanyapaa jamii ya wasio ona gentleman, hujafa hujaumbika,

ukilemewa na hoja huna haja kutumia jamii zenye mapungufu au mahitaji maalumu kuficha ulofa wako katika masula haya ya siasa nchini πŸ’
 
kujipa matumaini hewa saa zingine ni kama ushirikina tu gentleman πŸ’
Kivip yaani?! Ushirikina ni kushabikia demokrasia ikikanyagwa. Mnafaika pekee wa wizi na udhaifu wa uweledi kiuongozi ndio ana huo ujasiri wa kushabikia.
Kwani kuua na kutesa watu haitoshi,sasa mnataka kufunga chama,makanisa Na sijui nini kingine kitafuata,lkn bado sio dawa. Kifupi wala keki wamechanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…