Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

Tahaira kweli si mnasema wayahudi wanapiga ukristo Sasa unaingizaje ukristo na uyahudi?. Acha kuweweseka hapo haiusiki dini. Kwahiyo walipouwa ulitaka waaoheshwe na kupakwa mafuta waende harusini? Myahudi uwa na yeye atakuuwa ndiyo maisha yao.
 
Nyie c mnasema US na Israel wanatechonology mnasema wanaweza muona hata sisimizi, mmeishindwa ona missiles mtaona tunnels 😄

Ikiwa supports mnazopewa na US na Europe na nchi za kiarabu na bado Hamasi mmeshindwa mtamuweza Myeman na Mu Iran nyie 😄

Europe wamemuambia leo US pale Red Sea hapakaliki Yemen c mchezo.

Israel hawezi shinda vita hi, kapoteza chance ya kuokolewa na Qatar na Egypt
 
Mbona umekimbia maswali mkuu

Ni sahihi kwa hamas kufyatulia mizinga mitaani wakijua kabisa Israel ikijilinda kwa kulipua hio mizinga, mlipuko utaua watu wengine na kuharibu majengo ??

Kwanini wanatumia watu wengine kama ngao ?
 
Tahaira kweli si mnasema wayahudi wanapiga ukristo Sasa unaingizaje ukristo na uyahudi?. Acha kuweweseka hapo haiusiki dini. Kwahiyo walipouwa ulitaka waaoheshwe na kupakwa mafuta waende harusini? Myahudi uwa na yeye atakuuwa ndiyo maisha yao.
We unaisupport Israel ni bwana zako au una undugu nao kama c ujinga wa bibilia zenu kudai eti taifa la Mungu Fala mmoja wewe.

Israel hawawezi Hamasi toka lini shoga akaweza pigana na wanaume. Hamasi angepewa 1/10 ya silaha anazopewa Israel, Tela Aviv ingekuwa ni makao ya Hamasi kwa mda wa siku mbili tu.

Vita inataka wanaume vita si kuvunja majumba 😄
 
Wote waliofanya huo unyama na wao pia wameuwawa,kichapo kilichofatia baada ya huo uvamizi imebaki kuwa habari nyingine.
 
Hawa Walokole wa JF hawana wanalojua zaidi ya kufuata mkumbo tu.

Kuna aina 5 za wafuasi wa Israeli:

1) Wayahudi wa Kizayuni

2) Wakristo waliopotoshwa ambao wanaamini kwamba watabarikiwa kwa kuwaunga mkono “watu waliochaguliwa na Mungu”.

3) Watu wasiopenda Waislamu

4) Waisrel weusi hawa wengi walokole wanaamini Israel ni kwao’

5) Hawa hawana wanachojua kuhusu Israel wanaamini story za zamani kuwa Wayahudi ndiyo kila kitu.
 
Hamas wapigwe popote wanapoonekane mpaka waishe,na ikitokea wamejificha majumbani
sheria ya mwana wa nyoka naye ni nyoka itumike.
 
Huyo c alienda kujiunga na jeshi la Israel, ulitaka wampe nini zaidi ya kula risasi
Unaongea kitu ambacho huna hata tone la ushahidi wake, ushahidi wenu pekee mlionao ni kwamba alivaa boxer ya kijeshi, mliposhindwa hoja mkaweka kichwa chake kwenye picha ya askari ambae hawaendani hata rangi ya ngozi wala urefu wala unene, Yote hii ili kuwatetea magaidi.

Mollel alienda Israel kujifunza kilimo, Israel ni nchi inayofanya vizuri kwenye kilimo, kampuni inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya teknolojia za kilimo ipo Israel.

Siku ya shambulio aliuliwa na magaidi kwasababu alikuwa ndani ya mipaka ya Israel, magaidi walikuwa wanaua watu wengi kadri wawezavyo.
 
Sikieni hii ngombe
 
Aaaaaiiiseeee! Are you ok up stairs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…