Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

Tahaira kweli si mnasema wayahudi wanapiga ukristo Sasa unaingizaje ukristo na uyahudi?. Acha kuweweseka hapo haiusiki dini. Kwahiyo walipouwa ulitaka waaoheshwe na kupakwa mafuta waende harusini? Myahudi uwa na yeye atakuuwa ndiyo maisha yao.
Hebu nionyesheni hizo video kuna raia kauliwa, ambaye c mwanajeshi haswa wanawake na watoto.

Nguruwe atabaki kuwa nguruwe Israel akiuwa watoto mnaona kitu cha kawaida, akiuwa wanawake mnaona kitu cha kawaida.

Hizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.

Sio nyie mabwege mnashangilia rapes, mnashangilia vitoto vichanga afu mnajidai wafuasi wa Yesu.

Nyie ni wafuasi washetani. Yesu ndio kafundisha muwe watoto wakislam au wakiarabu na mrape, mvunje mashule yao, hospital zao nyie nadhani mko mbali sana na mafundisho ya Yesu ndio mana mnabudu jitu hata hamlijui eti Yesu 😄

Ndio mana mpaa mtakufa hamumjui Mungu kwa lana mlizo nazo mtabaki kuimba nyimbo Yesu ni Mungu wakati Yesu ni binadamu kama mimi na nyie.

Hizo ni lana aisay mnatembea nazo na mtabaki na ujinga uuo mpa mtakufa mkimuabudu Shetani
 
Hapa ni Gaza, Hamas wanafyatua makombora katikati ya mtaa

Israel ikijilinda kwa kulipua hio mizinga, mlipuko utadhuru mtaa na watu wake, ni kosa la Israel au hamas ??

Kama wanajali maisha ya wapalestina kwanini wasiende jangwani ?

Ni dhahiri Hamas hutumia raia kama ngao na kwa maksudi Israel ikijilinda watu kama wewe mpo mstari wa mbele kuanza kulalamika raia wanauliwa bila kuwalalamikia hamas wanaotengeneza hayo mazingira.

Hapo Gaza wamefyatua makomboa Takribani kumi, Israel ikijilinda kwa kupiga kombora moja tu kuharuby hiyo mizinga kuna kosa ?

View attachment 2983757
Nyie c mnasema US na Israel wanatechonology mnasema wanaweza muona hata sisimizi, mmeishindwa ona missiles mtaona tunnels 😄

Ikiwa supports mnazopewa na US na Europe na nchi za kiarabu na bado Hamasi mmeshindwa mtamuweza Myeman na Mu Iran nyie 😄

Europe wamemuambia leo US pale Red Sea hapakaliki Yemen c mchezo.

Israel hawezi shinda vita hi, kapoteza chance ya kuokolewa na Qatar na Egypt
 
Mbona umekimbia maswali mkuu

Ni sahihi kwa hamas kufyatulia mizinga mitaani wakijua kabisa Israel ikijilinda kwa kulipua hio mizinga, mlipuko utaua watu wengine na kuharibu majengo ??

Kwanini wanatumia watu wengine kama ngao ?
 
Tahaira kweli si mnasema wayahudi wanapiga ukristo Sasa unaingizaje ukristo na uyahudi?. Acha kuweweseka hapo haiusiki dini. Kwahiyo walipouwa ulitaka waaoheshwe na kupakwa mafuta waende harusini? Myahudi uwa na yeye atakuuwa ndiyo maisha yao.
We unaisupport Israel ni bwana zako au una undugu nao kama c ujinga wa bibilia zenu kudai eti taifa la Mungu Fala mmoja wewe.

Israel hawawezi Hamasi toka lini shoga akaweza pigana na wanaume. Hamasi angepewa 1/10 ya silaha anazopewa Israel, Tela Aviv ingekuwa ni makao ya Hamasi kwa mda wa siku mbili tu.

Vita inataka wanaume vita si kuvunja majumba 😄
 
Wote waliofanya huo unyama na wao pia wameuwawa,kichapo kilichofatia baada ya huo uvamizi imebaki kuwa habari nyingine.
 
Hebu nionyesheni hizo video kuna raia kauliwa, ambaye c mwanajeshi haswa wanawake na watoto.

Nguruwe atabaki kuwa nguruwe Israel akiuwa watoto mnaona kitu cha kawaida, akiuwa wanawake mnaona kitu cha kawaida.

Hizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.

Sio nyie mabwege mnashangilia rapes, mnashangilia vitoto vichanga afu mnajidai wafuasi wa Yesu.

Nyie ni wafuasi washetani. Yesu ndio kafundisha muwe watoto wakislam au wakiarabu na mrape, mvunje mashule yao, hospital zao nyie nadhani mko mbali sana na mafundisho ya Yesu ndio mana mnabudu jitu hata hamlijui eti Yesu 😄

Ndio mana mpaa mtakufa hamumjui Mungu kwa lana mlizo nazo mtabaki kuimba nyimbo Yesu ni Mungu wakati Yesu ni binadamu kama mimi na nyie.

Hizo ni lana aisay mnatembea nazo na mtabaki na ujinga uuo mpa mtakufa mkimuabudu Shetani
Hawa Walokole wa JF hawana wanalojua zaidi ya kufuata mkumbo tu.

Kuna aina 5 za wafuasi wa Israeli:

1) Wayahudi wa Kizayuni

2) Wakristo waliopotoshwa ambao wanaamini kwamba watabarikiwa kwa kuwaunga mkono “watu waliochaguliwa na Mungu”.

3) Watu wasiopenda Waislamu

4) Waisrel weusi hawa wengi walokole wanaamini Israel ni kwao’

5) Hawa hawana wanachojua kuhusu Israel wanaamini story za zamani kuwa Wayahudi ndiyo kila kitu.
 
Lengo kuu ukioachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua raia waisrael wengi kadri iwezekanavyo huku,, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha kurahisisha zoezi lao.

Mtanzania mwenzetu Mollel akiwa Israel kwenye maafunzo ya kilimo alivamiwa na kuuliwa kikatili, nia ilikuwa ni kuua watu wengi kadri wawezavyo.

View attachment 2983723

Magaidi waliingia barabarani na kuanza kulipua magari ya raia

View attachment 2983542

gaidi aliejificha aliishambulia familia nzima

View attachment 2983525jific

Hamas walifika nyumba mwanamke kajifungia ndani kaweka loki kwenye mlango, walrusha bomu la mkono kufyatua mlango, mwanamke huyo alipotoka alipigwa risasi kadhaa kichwani kisha kushindiliwa na kitako cha bunduki.

View attachment 2983497

Mzee huyu ashauliwa lakini wakamuongezea risasi za ziada kichwani close range

View attachment 2983501

Mashambulizi kwa taia waliokuwa wakiendesha vyombo vya moto barabarani

View attachment 2983508

View attachment 2983504

Mitaani ilikuwa ni mtafutano, kwenye video ya chini kuanzia sekunde ya 58 wanawake wamechoka kukimbia wakauliwa, haidi anapiga dua kabla hajamuua mwanamke wa pili.

View attachment 2983516

Ikumbukwe pia Hamas wanatumia raia wapalestina kama ngao, wanapenda kufyatua makombora wakiwa mitaani kwenye makazi ya watu Ili Israel ikijibu wanakimbilia kuposti watu walioumia ama kufa wapate huruma, Mfano ni hii video wameweka mizinga mtaani inafyatua makombora zaidi ya 10, Israel Ikijilinda kwa kufyatua kombora moja tu kwa lengo la kulipua hio mizinga, mlipuko ukifikia watu wa hapo mtaani, picha zinaanza kusambazwa kuisingizia Israel inaua watu kumbe ni Hamas wanatumia raia kama ngao.

View attachment 2983768
Hamas wapigwe popote wanapoonekane mpaka waishe,na ikitokea wamejificha majumbani
sheria ya mwana wa nyoka naye ni nyoka itumike.
 
Huyo c alienda kujiunga na jeshi la Israel, ulitaka wampe nini zaidi ya kula risasi
Unaongea kitu ambacho huna hata tone la ushahidi wake, ushahidi wenu pekee mlionao ni kwamba alivaa boxer ya kijeshi, mliposhindwa hoja mkaweka kichwa chake kwenye picha ya askari ambae hawaendani hata rangi ya ngozi wala urefu wala unene, Yote hii ili kuwatetea magaidi.

Mollel alienda Israel kujifunza kilimo, Israel ni nchi inayofanya vizuri kwenye kilimo, kampuni inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya teknolojia za kilimo ipo Israel.

Siku ya shambulio aliuliwa na magaidi kwasababu alikuwa ndani ya mipaka ya Israel, magaidi walikuwa wanaua watu wengi kadri wawezavyo.
 
Hebu nionyesheni hizo video kuna raia kauliwa, ambaye c mwanajeshi haswa wanawake na watoto.

Nguruwe atabaki kuwa nguruwe Israel akiuwa watoto mnaona kitu cha kawaida, akiuwa wanawake mnaona kitu cha kawaida.

Hizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.

Sio nyie mabwege mnashangilia rapes, mnashangilia vitoto vichanga afu mnajidai wafuasi wa Yesu.

Nyie ni wafuasi washetani. Yesu ndio kafundisha muwe watoto wakislam au wakiarabu na mrape, mvunje mashule yao, hospital zao nyie nadhani mko mbali sana na mafundisho ya Yesu ndio mana mnabudu jitu hata hamlijui eti Yesu 😄

Ndio mana mpaa mtakufa hamumjui Mungu kwa lana mlizo nazo mtabaki kuimba nyimbo Yesu ni Mungu wakati Yesu ni binadamu kama mimi na nyie.

Hizo ni lana aisay mnatembea nazo na mtabaki na ujinga uuo mpa mtakufa mkimuabudu Shetani
Sikieni hii ngombe
 
Aaaaaiiiseeee! Are you ok up stairs?
 
Back
Top Bottom