Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Mbona israel pia inapigana na hamas, syria, jordan, lebanon, iran, iraq, yemen wahuth, hezbollah, africa kusini[emoji1] hivi we unadhani hao wanao pigana na Hamasi wote ni jeshi la Israel, wako wa America, Wafaransa. Waingereza, Wahindi, Warabu hao wote wanamsaidia Muisrael.
Toka lini jeshi la Israel likapigana bila kusaidiwa [emoji1]
Hawa pia ni wana jeshi baada ya kumuua wakamvua na nguoSa we hebu tuonyeshe hizo video ambazo Hamasi kawauwa raia kama mnazo, mbona mnabana kama mnacho ongea ni uwongo.
Ishu sio kutetea au kuogopa ila unateteaje?Pumbafu mmoja wewe unadhani mimi naogopa kuongea na kutetea dini yangu, nyie mtukane waislam tuwapigie makofi.
Acheni kuwatukana waislam kwanza na kuwazulia uwongo, muislam akipigania haki yake ni terrorist , Israel akiuwa watu ni self-defence 😄
Nenda zako huko unadhani hawa ma moderators hawaoni ujinga wenu.
Afu mimi wala sibabaishwi na mtu hapa tabaki naongea ukweli, sikuogopi wewe wala moderator hapa kwani nalipwa mshahara niogope hata kufungiwa.
Mnataka ukweli wacheni watu waongee ukweli.
We unapo ongelea kuogopa unakusudia nini? Mimi nilikuwa naongelea we ku complain kwa moderators wakati nyie daima ndio mnatukana Waislam humu, shenzi type nyie.Ishu sio kutetea au kuogopa ila unateteaje?
Umejificha na id fake jf afu unasema huogopi, acha nongwa bw.mdogo.
Rekebisha uteteaji wako kijana, huu unaotoa hapa ni uharo.
We bwanamdogo umevurugwa kwelikweli, mimi na nani tunasema Israel ni taifa la Mungu?We unapo ongelea kuogopa unakusudia nini? Mimi nilikuwa naongelea we ku complain kwa moderators wakati nyie daima ndio mnatukana Waislam humu, shenzi type nyie.
Ndio nikakuambia we unadhani mimi nababaishwa na ujinga wenu hata ukimwambia moderator atanifanya nini, kwani mimi nafanya kazi hapa au nalipwa nikiwa member.
Wekeni akilini nyie si kila anacho fanya Israel mkifurahie, hata kama anakosea kwa kujidai eti taifa la Mungu, toka lini taifa la Mungu likawa linaongoza kwa ushoga dunia nzima, hilo ni laxima liwe taifa la shetani tu.
Wanavuna ndugu zao walicho panda na naamini Kwa kipigo hiki hawatarudia tena kuichokoza Israel miaka 1000 ijayo maana history imeandikwa.Endeleeni kufurahi tu.
Kuitetea dini fulani inabidi kujitoa akiliHebu nionyesheni hizo video kuna raia kauliwa, ambaye c mwanajeshi haswa wanawake na watoto.
Nguruwe atabaki kuwa nguruwe Israel akiuwa watoto mnaona kitu cha kawaida, akiuwa wanawake mnaona kitu cha kawaida.
Hizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.
Sio nyie mabwege mnashangilia rapes, mnashangilia vitoto vichanga afu mnajidai wafuasi wa Yesu.
Nyie ni wafuasi washetani. Yesu ndio kafundisha muwe watoto wakislam au wakiarabu na mrape, mvunje mashule yao, hospital zao nyie nadhani mko mbali sana na mafundisho ya Yesu ndio mana mnabudu jitu hata hamlijui eti Yesu 😄
Ndio mana mpaa mtakufa hamumjui Mungu kwa lana mlizo nazo mtabaki kuimba nyimbo Yesu ni Mungu wakati Yesu ni binadamu kama mimi na nyie.
Hizo ni lana aisay mnatembea nazo na mtabaki na ujinga uuo mpa mtakufa mkimuabudu Shetani
Una akili ndogo sana maalimNyie c mnasema US na Israel wanatechonology mnasema wanaweza muona hata sisimizi, mmeishindwa ona missiles mtaona tunnels 😄
NIkiwa supports mnazopewa na US na Europe na nchi za kiarabu na bado Hamasi mmeshindwa mtamuweza Myeman na Mu Iran nyie 😄
Europe wamemuambia leo US pale Red Sea hapakaliki Yemen c mchezo.
Israel hawezi shinda vita hi, kapoteza chance ya kuokolewa na Qatar na Egypt
Usitutoe kwenye reli ongelea kinachoonekana kwenye hizo video.allah hana sifa za kuwa MunguHawa Walokole wa JF hawana wanalojua zaidi ya kufuata mkumbo tu.
Kuna aina 5 za wafuasi wa Israeli:
1) Wayahudi wa Kizayuni
2) Wakristo waliopotoshwa ambao wanaamini kwamba watabarikiwa kwa kuwaunga mkono “watu waliochaguliwa na Mungu”.
3) Watu wasiopenda Waislamu
4) Waisrel weusi hawa wengi walokole wanaamini Israel ni kwao’
5) Hawa hawana wanachojua kuhusu Israel wanaamini story za zamani kuwa Wayahudi ndiyo kila kitu.
Ugaidi umefunga uelewa wako😄 hivi we unadhani hao wanao pigana na Hamasi wote ni jeshi la Israel, wako wa America, Wafaransa. Waingereza, Wahindi, Warabu hao wote wanamsaidia Muisrael.
Toka lini jeshi la Israel likapigana bila kusaidiwa 😄
Unamaanisha yule mwanajeshi wa kukodiwa...? (Comrade Joshua).. Aliyetolewa kama chambo na IDF..?Vipi Video ya Mtanzania mwenzetu.. nayo uliifurahia?
Walizorusha si alipewa na wapumbavu wa kiirani aingie apige Sasa. Wewe Hamas ni waume zako? Mpuuzi wa akili. Dini imekuaribu ubongo. Kwahiyo uislam ndiyo uliowaambia hamas warushe wabomu Yale tarehe 7?. Mpaka uwaze dini inausika. Unataka biblia inausika nini na Upumbavu wa Hamas. Walijikusanya 67 mabwana zako wa kiarabu na hawajaifanya TEL Aviv kuwa ya hamas.We unaisupport Israel ni bwana zako au una undugu nao kama c ujinga wa bibilia zenu kudai eti taifa la Mungu Fala mmoja wewe.
Israel hawawezi Hamasi toka lini shoga akaweza pigana na wanaume. Hamasi angepewa 1/10 ya silaha anazopewa Israel, Tela Aviv ingekuwa ni makao ya Hamasi kwa mda wa siku mbili tu.
Vita inataka wanaume vita si kuvunja majumba 😄
wakiristo wa jf mtapata sabu sana na waislam
waarab wanasema bora mwarab kafir kuliko mbantu mwislam , endelea kushabikia dini za watuUnamaanisha yule mwanajeshi wa kukodiwa...? (Comrade Joshua).. Aliyetolewa kama chambo na IDF..?