Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

Dini ishakula akili yako.You can no longer reason.Ooooh kumbe idol wako ni yule msaliti eeeeeeeh
Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.
 
Westbank kuna Hamas? Watu mna comment humu hamjui hata mnachoongelea.
Hakuna hamas lakini wao wana wasapot wenzao.
Hao waliokamatwa hapo wengine walikuwa wanatoa taarifa kwa hamas.
Wengine ndio hao wanavizia waisrael na kuwathuru.
 
Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.
Bible gani inakataza kuua. Lete ushahidi wa kimaandiko nitakujibu.
 
Mtawala alikuwa Mroma.
Ndiyo maana alitoa adhabu ya kutundikwa.
Mtawala aliponmaliza muda wake,alirejea kwa Roma.
Ponsyo Pilato alikuwa liwali wa kiroma katika Palestina kwenye miaka 26-36.
Hope umeona aliemuua sio myahudi ila ni mroma.
Myahudi alikuwa mtawaliwa tu, ni lazima atii sheria. Otherwise wangemuua kwa sheria zao za kupiga mawe.
 
Kumbe hujui na unabisha?
Wanapambana na raia wa ki Israel kwa kuvizia.
Acha uongo, hakuna raia wa Israel westbank hao wanaitwa walowezi!! Maana wanakalia nchi ya watu bila passport wala kibali. Kila mwaka walowezi wanaingia westbank na kupora nyumba za wapalestina alafu wanajenga za kwao so far wapo laki 5 na kila mwaka wanaongezeka.

Soma hiyo article ya BBC ambao ni pro-israel wakielezea hao walowezi na jinsi wanavyojichagulia nyumba na kufukuza wakazi wa pale. Then anakuja mtu anashabikia huu uhuni anasema wapalestina wanajitakia wenyewe!!
 
😁😁😁 Hao walowezi ni watu gani?
 
Hakuna hamas lakini wao wana wasapot wenzao.
Hao waliokamatwa hapo wengine walikuwa wanatoa taarifa kwa hamas.
Wengine ndio hao wanavizia waisrael na kuwathuru.
Ndio nimesema hao walowezi wanaoishi westbank walishatamkwa na umoja wa mataifa kuwa ni illegal na wanapora ardhi kila mwaka je ni halali? Na kama wanapora watu bila sababu na hakuna hamas huko kivipi mseme wapalestina nu wakorofi?

Yaani kama westbank harushi risasi bado anaporwa ardhi, kivipi mdai gaza wanakufa kisa ugaidi?
 
Mathayo 5:21
Mmesikia kuwa hapo kale baba zetu waliambiwa, ‘Usimwue yeyote. Na yeyote atakayeua atahukumiwa.’
Samuel 15:3
New International Version
3 Now go, attack the Amalekites and totally destroy all that belongs to them. Do not spare them; put to death men and women, children and infants, cattle and sheep, camels and donkeys.’”
 
😁😁😁 Hao walowezi ni watu gani?
Ni waisrael wanaoacha nchi yao wanaingia mipaka ya palestina na kujichukulia ardhi na kujenga apartments zao. Na kwa sasa wanafika laki 5!! Hao wanapora ardhi westbank ambako hakuna hamas wala ugaidi. Cha ajabu Gaza wanapigwa mabomu mnasema sababu ya ukorofi? Je huko Westbank wanapigwa kwa kosa gani?
 
Ndio nimesema hao walowezi wanaoishi westbank walishatamkwa na umoja wa mataifa kuwa ni illegal na wanapora ardhi kila mwaka je ni halali? Na kama wanapora watu bila sababu na hakuna hamas huko kivipi mseme wapalestina nu wakorofi?

Yaani kama westbank harushi risasi bado anaporwa ardhi, kivipi mdai gaza wanakufa kisa ugaidi?
Nazani unapanic.
Hakuna sehemu nimetoa madai hayo unayosema hapa.
Ni jibu swahi hili, walowezi ni waisrael au Wapalestina?
 
Ni waisrael wanaoacha nchi yao wanaingia mipaka ya palestina na kujichukulia ardhi na kujenga apartments zao. Na kwa sasa wanafika laki 5!! Hao wanapora ardhi westbank ambako hakuna hamas wala ugaidi. Cha ajabu Gaza wanapigwa mabomu mnasema sababu ya ukorofi? Je huko Westbank wanapigwa kwa kosa gani?
Sasa kwa nini nimesema Wapalestina wa westbank wanawavizia waisrael na kuwadhuru ukasema hakuna waisrael westbank?
 
Samuel 15:3
New International Version
3 Now go, attack the Amalekites and totally destroy all that belongs to them. Do not spare them; put to death men and women, children and infants, cattle and sheep, camels and donkeys.’”
Amalekites ndio wapalestina? Hawa wa sasa wamepewa maelekezo na Mungu kuua wapalestina? Yesu alikataza kuua na ndio nimemquote hapo. Agano jipya ndio lina tu guide kwa sasa ndio maana hao sio taifa teule tena
 
Acha uongo, hakuna raia wa Israel westbank hao wanaitwa walowezi!! Maana wanakalia nchi ya watu bila passport wala kibali. Kila mwaka walowezi wanaingia westbank na kupora nyumba za wapalestina alafu wanajenga za kwao so far wapo laki 5 na kila mwaka wanaongezeka.

Soma hiyo article ya BBC ambao ni pro-israel wakielezea hao walowezi na jinsi wanavyojichagulia nyumba na kufukuza wakazi wa pale. Then anakuja mtu anashabikia huu uhuni anasema wapalestina wanajitakia wenyewe!!
Ulisema wewe ni Mkristo eeeeeeeeh
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.
Hawa wakristo ndio nao wafahamu mimi tulishi nao kama ndugu sio hao wanao jidai wakristo wakushangilia ujinga wa Israel.

Mimi nilikuwa na marafiki wakristo wengi sana wengine mpaa tulikuwa kama ndugu kabisa.

Hawa wakristo wanao shangilia damu za watoto hawa ni wafuasi wa shetani, ukristo c hivyo.

Mimi utoto wangu nilikuwa naenda mpaa kwenye makanisa kuwashindikiza rafiki zangu naingia kanisani na wao walikuwa siku za Eid wanakuja tunakula nao Eid pamoja hao ndio wakristo nao wajua c hawa wa humu wanao shangilia ujinga wa Israel hawa ni mashetani.
 
Amalekites ndio wapalestina? Hawa wa sasa wamepewa maelekezo na Mungu kuua wapalestina? Yesu alikataza kuua na ndio nimemquote hapo. Agano jipya ndio lina tu guide kwa sasa ndio maana hao sio taifa teule tena
Unapanic sana.
-Umesema Bible imekataza kuua, umetoa verse nikakupa verse inayoagiza kuua.
-Hakuna mahali tumeongelea watu gani wanatakiwa kufa na wapi hawatakiwi kufa.
Hoja yako biblia imekataza kuua.
Labda useme agano jipya limekataza kuua, lakini ukisema biblia ni agani la kale na jipya.

Agano la kale ndilo lina ku guide kwa sasa, je agano jipya lilikuja kutengua angano la kale au kutimiliza?
 
Mbona umekimbia maswali mkuu

Ni sahihi kwa hamas kufyatulia mizinga mitaani wakijua kabisa Israel ikijilinda kwa kulipua hio mizinga, mlipuko utaua watu wengine na kuharibu majengo ??

Kwanini wanatumia watu wengine kama ngao ?
We hivi unadhani Gaza yote ni km ngapi?

Yani mimi nikichukua video nipo ju ya Gorofa video yangu inaweza chukua masafaa ya km ngapi?

Kwanza jibu hapo afu nione kama utafikiria ujinga wa hivyo next time.
 
Back
Top Bottom