zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Westbank kuna Hamas? Watu mna comment humu hamjui hata mnachoongelea.Wanauwawa kwa sababu Hamas kaamua kuwatumia kama kinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Westbank kuna Hamas? Watu mna comment humu hamjui hata mnachoongelea.Wanauwawa kwa sababu Hamas kaamua kuwatumia kama kinga
Kumbe hujui na unabisha?Kuna ukorofi gani westbank?
Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.Dini ishakula akili yako.You can no longer reason.Ooooh kumbe idol wako ni yule msaliti eeeeeeeh
Hakuna hamas lakini wao wana wasapot wenzao.Westbank kuna Hamas? Watu mna comment humu hamjui hata mnachoongelea.
Bible gani inakataza kuua. Lete ushahidi wa kimaandiko nitakujibu.Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.
Hope umeona aliemuua sio myahudi ila ni mroma.
Acha uongo, hakuna raia wa Israel westbank hao wanaitwa walowezi!! Maana wanakalia nchi ya watu bila passport wala kibali. Kila mwaka walowezi wanaingia westbank na kupora nyumba za wapalestina alafu wanajenga za kwao so far wapo laki 5 na kila mwaka wanaongezeka.Kumbe hujui na unabisha?
Wanapambana na raia wa ki Israel kwa kuvizia.
Mathayo 5:21Bible gani inakataza kuua. Lete ushahidi wa kimaandiko nitakujibu.
😁😁😁 Hao walowezi ni watu gani?Acha uongo, hakuna raia wa Israel westbank hao wanaitwa walowezi!! Maana wanakalia nchi ya watu bila passport wala kibali. Kila mwaka walowezi wanaingia westbank na kupora nyumba za wapalestina alafu wanajenga za kwao so far wapo laki 5 na kila mwaka wanaongezeka.
![]()
Israel approves plans for 3,400 new homes in West Bank settlements
An Israeli minister has said the construction is a response to a recent deadly Palestinian attack.www.bbc.com
Soma hiyo article ya BBC ambao ni pro-israel wakielezea hao walowezi na jinsi wanavyojichagulia nyumba na kufukuza wakazi wa pale. Then anakuja mtu anashabikia huu uhuni anasema wapalestina wanajitakia wenyewe!!
Ndio nimesema hao walowezi wanaoishi westbank walishatamkwa na umoja wa mataifa kuwa ni illegal na wanapora ardhi kila mwaka je ni halali? Na kama wanapora watu bila sababu na hakuna hamas huko kivipi mseme wapalestina nu wakorofi?Hakuna hamas lakini wao wana wasapot wenzao.
Hao waliokamatwa hapo wengine walikuwa wanatoa taarifa kwa hamas.
Wengine ndio hao wanavizia waisrael na kuwathuru.
Samuel 15:3Mathayo 5:21
Mmesikia kuwa hapo kale baba zetu waliambiwa, ‘Usimwue yeyote. Na yeyote atakayeua atahukumiwa.’
Ni waisrael wanaoacha nchi yao wanaingia mipaka ya palestina na kujichukulia ardhi na kujenga apartments zao. Na kwa sasa wanafika laki 5!! Hao wanapora ardhi westbank ambako hakuna hamas wala ugaidi. Cha ajabu Gaza wanapigwa mabomu mnasema sababu ya ukorofi? Je huko Westbank wanapigwa kwa kosa gani?😁😁😁 Hao walowezi ni watu gani?
Nazani unapanic.Ndio nimesema hao walowezi wanaoishi westbank walishatamkwa na umoja wa mataifa kuwa ni illegal na wanapora ardhi kila mwaka je ni halali? Na kama wanapora watu bila sababu na hakuna hamas huko kivipi mseme wapalestina nu wakorofi?
Yaani kama westbank harushi risasi bado anaporwa ardhi, kivipi mdai gaza wanakufa kisa ugaidi?
Sasa kwa nini nimesema Wapalestina wa westbank wanawavizia waisrael na kuwadhuru ukasema hakuna waisrael westbank?Ni waisrael wanaoacha nchi yao wanaingia mipaka ya palestina na kujichukulia ardhi na kujenga apartments zao. Na kwa sasa wanafika laki 5!! Hao wanapora ardhi westbank ambako hakuna hamas wala ugaidi. Cha ajabu Gaza wanapigwa mabomu mnasema sababu ya ukorofi? Je huko Westbank wanapigwa kwa kosa gani?
Amalekites ndio wapalestina? Hawa wa sasa wamepewa maelekezo na Mungu kuua wapalestina? Yesu alikataza kuua na ndio nimemquote hapo. Agano jipya ndio lina tu guide kwa sasa ndio maana hao sio taifa teule tenaSamuel 15:3
New International Version
3 Now go, attack the Amalekites and totally destroy all that belongs to them. Do not spare them; put to death men and women, children and infants, cattle and sheep, camels and donkeys.’”
Ulisema wewe ni Mkristo eeeeeeeehAcha uongo, hakuna raia wa Israel westbank hao wanaitwa walowezi!! Maana wanakalia nchi ya watu bila passport wala kibali. Kila mwaka walowezi wanaingia westbank na kupora nyumba za wapalestina alafu wanajenga za kwao so far wapo laki 5 na kila mwaka wanaongezeka.
![]()
Israel approves plans for 3,400 new homes in West Bank settlements
An Israeli minister has said the construction is a response to a recent deadly Palestinian attack.www.bbc.com
Soma hiyo article ya BBC ambao ni pro-israel wakielezea hao walowezi na jinsi wanavyojichagulia nyumba na kufukuza wakazi wa pale. Then anakuja mtu anashabikia huu uhuni anasema wapalestina wanajitakia wenyewe!!
Hawa wakristo ndio nao wafahamu mimi tulishi nao kama ndugu sio hao wanao jidai wakristo wakushangilia ujinga wa Israel.Dini gani? Mimi ni mkristo ila siku zote niko upande wa haki. Hata Mandela na Nyerere ni wakristo ila walimpinga myahudi sijui nyie wakristo wa wapi mnajivua ufahamu. Bible inakataza kuua ila mko busy kushabikia mauaji.
Unapanic sana.Amalekites ndio wapalestina? Hawa wa sasa wamepewa maelekezo na Mungu kuua wapalestina? Yesu alikataza kuua na ndio nimemquote hapo. Agano jipya ndio lina tu guide kwa sasa ndio maana hao sio taifa teule tena
We hivi unadhani Gaza yote ni km ngapi?Mbona umekimbia maswali mkuu
Ni sahihi kwa hamas kufyatulia mizinga mitaani wakijua kabisa Israel ikijilinda kwa kulipua hio mizinga, mlipuko utaua watu wengine na kuharibu majengo ??
Kwanini wanatumia watu wengine kama ngao ?