baada ya mlichofanya 7th Oct mlitakwa wayaudi wawapongeze ? bila iron dome je zile rockets 5000 zilikuwa zinalenga wanajeshi tu ?Tahaira kweli si mnasema wayahudi wanapiga ukristo Sasa unaingizaje ukristo na uyahudi?. Acha kuweweseka hapo haiusiki dini. Kwahiyo walipouwa ulitaka waaoheshwe na kupakwa mafuta waende harusini? Myahudi uwa na yeye atakuuwa ndiyo maisha yao.
Tayari umekimbilia kwenye Dini....waarab wanasema bora mwarab kafir kuliko mbantu mwislam , endelea kushabikia dini za watu
We hujui lolote, Mandela alilipua majengo mangapi South Africa akiua mamia ya watu mbona tunamuita shujaa? Kupambana na wavamizi haijawahi kuwa rahisi.Halafu eti mtu anawatetea hamas ndio mafreedom fighter na israel eti wauaji
Kule westbank hakuna Hamas wala ugaidi unaweza nisaidia kwanini bado wapalestina wanauwawa kila siku? Mnatafuta justification za kijinga tuIkumbukwe pia Hamas wanatumia raia wapalestina kama ngao, Kwa maksudi wanaweka mizinga ya kufyatulia makombora kwenye maghorofa wanayoshi watu
Kwanini wasiuwaweKule westbank hakuna Hamas wala ugaidi unaweza nisaidia kwanini bado wapalestina wanauwawa kila siku? Mnatafuta justification za kijinga tu
Hatushabikii wayahudi tunachokataa ni aridhi ya jerusalem kukaliwa na magaidi,Tayari umekimbilia kwenye Dini....
Hakuna sehemu nimeandika kuhusu dini...inaonekana wewe ndiye unashabikia dini.
Wayahudi unaowashabikia leo hii, ndiyo walio mtundika Jesus Msalabani.
Magaidi ni watu gani...? Wanao pigania uhuru..?Hatushabikii wayahudi tunachokataa ni aridhi ya jerusalem kukaliwa na magaidi,
Dini ishakula akili yako.You can no longer reason.Ooooh kumbe idol wako ni yule msaliti eeeeeeehWe hujui lolote, Mandela alilipua majengo mangapi South Africa akiua mamia ya watu mbona tunamuita shujaa? Kupambana na wavamizi haijawahi kuwa rahisi.
Wanauwawa kwa sababu Hamas kaamua kuwatumia kama kingaKule westbank hakuna Hamas wala ugaidi unaweza nisaidia kwanini bado wapalestina wanauwawa kila siku? Mnatafuta justification za kijinga tu
Duuh..
Hao magaidi wa Hamas walianza kuvamia tamasha la mziki la watoto wakaua zaidi ya 1000 na kuteka wengine, wasichana na wavulanaHizo video hebu tuonyeshe wapi Hamasi kavunja hospital, shule, majumba na angeweza fanya vile, walicho fanya walienda camp za jeshi na kuteka walio wateka hawakuwauwa raia wala watoto au kurape.
Sheria ya wayahudia ni kupiga kwa mawe mpaka kufa.Tayari umekimbilia kwenye Dini....
Hakuna sehemu nimeandika kuhusu dini...inaonekana wewe ndiye unashabikia dini.
Wayahudi unaowashabikia leo hii, ndiyo walio mtundika Jesus Msalabani.
π₯±π₯±π₯±Waislam ni watu poa sana, hawana shida na na wakristo.
Wapo waislamu na wakristo wasio kuwa na akili ndiyo huingia kwenye mtego wa Propaganda na kuanza kuchukiana.
Wanauwawa kwa ukorofi wao.Kule westbank hakuna Hamas wala ugaidi unaweza nisaidia kwanini bado wapalestina wanauwawa kila siku? Mnatafuta justification za kijinga tu
Mtawala alikuwa Mroma.Sheria ya wayahudia ni kupiga kwa mawe mpaka kufa.
Sheria ya warumi ni kutundika kwenye nguzo.
Je alitundikwa au alipigwa mawe?
Sana tena sana ndio mana siamini anacho ongea America na shoga yake Israel.Una akili ndogo sana maalim
We mimi na kuzaa wewe usinite bwana mdogo, afu nyie wakristo ndio mnaitetea Israel mkidai eti taifa teule, au uwongo.We bwanamdogo umevurugwa kwelikweli, mimi na nani tunasema Israel ni taifa la Mungu?
Tatizo lako una mihemko mno, tuliza hizo hisia kwanza halafu shusha pumzi nyingi, then anza kutype taratibu.
Usipayuke kama mwendawazimu kijana, unaonekana juha na hoja zako unazopigania zinayeyuka kwa lugha mbofu unayotumia.
Nimeita Moderator ili walau wakusaidie uufikishe ujumbe wako na ueleweke na sio kwasababu unawaogopa au unalipwa na jf(hapo kama kidume umepuyanga kuleta mipasho)
Kuna ukorofi gani westbank?Wanauwawa kwa ukorofi wao.