Miezi 7 since October 7 2023: Hizi ni Video za matukio ya kikatili yaliyofanywa na magaidi wa Hamas, Israel wana kila sababu kudeal nao

Enzi Wakenya Maumau wanakabiliana na kuwaua wakoloni waingereza kwa mapanga ,marungu ,mishale ,magobole nk na kuwachoma moto kwenye makazi yao na wakati Frelimo wanawaua Wareno pale Msumbiji kikatili ,kwa tafsiri yako walifaa waitwe magaidi
Acheni kukaririshwa vitu msivyovielewa
 
Mtu mbumbafu tu anakalilishwa na kusema Hamas magaidi , ukimuuliza ni ugaidi gani waliofanya ,hana majibu
 
Umkonto we Sizwe ya ANC ,enzi za ukaburu au apartheid South Africa walivamia makazi ya makaburu wakawapiga risasi ,kuwachomea moto ,kuharibu mashamba yao na mali zao nk ,leo hii kwa hiyo definition yako ya ugaidi ,wangeitwa magaidi Kwa struggle walizofanya dhidi ya illegal invasion and occupation ya makaburu ,similarly na wanachofanya Hamas huko Palestina
 
Kiufupi Hamas wanapigana na wakoloni wa Kizayuni
Ugaidi ni hayo mauaji ya Nakba na ushenzi unaofanywa na IDF na walowezi hao wayahudi feki kwa wapalestina kwenye ardhi yao .
Ninyi mnaojifanya mna akili kuzidi watu waliopo UN wanaodeclare Israel kama taifa linalooperate kigaidi kama apartheid regime ni wapuuzi .
 
Kumbe molel alikuwa mwanajeshi
 
Mi namsubiria mshindi ili nimpongeze.
Kama jamii inaamini kuuana ndio kutimiza haja zao basi tuwaache wauane.
Hatuna jinsi nyingine zaidi ya kumsubiria mshindi ili tumpongeze.
 
Comment kama hizi hutoka kwa masheikh ubwabwa kama wewe bwana amigosi
 
Sheikh wahi madrasa ukatawaze pumbafuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…