Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

FB_IMG_16765550226650424.jpg
 
Sasa asubirie nini tena mtu ni billionaire kumshinda Oprah Winfrey, anahela za kutosha kuishi maisha yake yote hadi uzee. Umri wake ndio hivyo ana miaka 35 kwann asiongeze watoto hadi achoke mwenyewe ibakie kuwalea tu.

Ila amenikera kachangua mwanaume msuka Rasta. Anaacha kuchagua mwanaume anayejitambua ila ndio marekani ya sasa wanaume ni wachache sana.
 
Usipende kumtania mtu kitu kiko nje ya uwezo wake ni dhambi
Hata kama alikosea hakuna mtu perfect shukuru Mungu kama wewe umejaaliwa Acha kuwazodoa wengine waliokosa unakufuru
You deserve a hug and a kiss on your forehead. Njoo nikukumbatie maneno yako ya hekima sana.
 
Back
Top Bottom